jamani eeh! usilolijua usiku wa giza! mm na girlfriend wangu tumekuwa na ugomvi sikuchache zilizopita,hali hii ilipelekea kutokula pamoja kama zamani,sasa jana usiku nmekula mama ntilie nikarud na maji yangu ya kopo yalibakia kiasi kidogo nikaweka kando ya kitanda changu na kulala huku huyu...
habarini za sahizi? poleni na majukumu,ndugu zangu samahanini nimesahau zile ussd kwa ajilibya kuweza kutambua simu original yenye teknologia ya android sinakumbukumbu nzuri ya hiyo kitu...mwenye kujua anijize na faida kwa wingine pia.
natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.