Recent content by Thebroker

 1. Thebroker

  Vituko vya mama mwenye nyumba nimevichoka

  Hongera kwa serikali ya awamu ya 5 inayojali wanyonge Kula mzigo ki masihara mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Thebroker

  Antonio Nunguz na ushauri toka kwa wake zake

  KOCHA WA YANGA AZUA TAARUKI TANGA. Kocha Luc Eymael wa Yanga amesema wakati huu wakiwa Tanga kikosi chake badala ya kuboreka kinaendelea kushuka maana kuna wachezaji hawaeleweki kabisa leo hivi kesho vile. Amesema mpaka sasa Wachezaji wanaofaa kucheza Yanga Wapo Watano tu wengine ndio hivyo...
 3. Thebroker

  Naomba ushauri: Nimeshinda kesi ya kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu lakini nataka kukata rufaa

  Primary court imetoa hukumu kwenye criminal case which is not disputed ndo mana nikashauri kama hajaridhika na hio hukumu aende DC and if anataka possession ya land aende DLHT iliyo eneo lake. Jifunze kusoma btwn lines. Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Thebroker

  Kwako kipimo cha mke bora ni kipi?

  Nadhan ex wako ndo nimemuoa mimi...duh! Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Thebroker

  Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

  Oysterbay primary school Levolosi primary school(1991) Popatlal secondar(1995) o lev Popatlal secondary (1998) A lev TIA (2001) ADA IJA (2003) DL TUDARCO (2008) LLB Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Thebroker

  Airtel hawakamatiki kwa vifurushi murua

  Nimetumia airtel tangu 2002 nikiwa ni miongoni mwa wateja waliohamiashiwa kutoka tritel. Na sijawah kubadili namba au kutumia mtandao mwingine. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Thebroker

  Natafuta pasi nzuri ya kunyooshea nguo

  Pasi ya nguo nzuri au pasi nzuri ya nguo?? Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Thebroker

  Naomba ushauri: Nimeshinda kesi ya kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu lakini nataka kukata rufaa

  You may wish to revisit my comment and relook the thread to which my comment originated thereof. Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Thebroker

  Tetesi: Hamisa Mobeto kuwania ubunge Kinondoni kupitia CCM

  Maendeleo hayana chama...yetu macho. Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Thebroker

  Maisha ya kijijini ni mazuri sana kuliko maisha ya mjini

  Kama kwetu tu na wameadvance zaid kwa kuwa na hospital ya vichaa Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Thebroker

  Pamoja na katerero, maji haya sababu ni nini?

  pleo, Inawezekana huijui papuchi vizuri! Sent using Jamii Forums mobile app
 12. Thebroker

  Anatamani nikamtafune ila tatizo ana period isiyokoma

  Kamanda Zero unaniangusha...kwa nini usiende piga mzigo bafuni kwa maji yanayo tiririka Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Thebroker

  Car4Sale Ingia hapa chagua Gari (Magari mazuri bei nzuri) wazee wa kulenga!

  Hayatengenezeki na nimenunua mengine mara kadhaa yanakufa japo yaliokuja na gari nimetumia miaka 4 bila usumbufu mpakayalipokufa ghafla. Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Thebroker

  Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

  Yuda Opas Mboro Sent using Jamii Forums mobile app
 15. Thebroker

  Car4Sale Ingia hapa chagua Gari (Magari mazuri bei nzuri) wazee wa kulenga!

  Ni kweli kabisa mkuu, nimekua nikiendesha lexus rx450h 3.3lt hybrid kwa miaka kadhaa. Litre 1 ya patrol imekua ilikua inaenda mpaka 18km...tatizo limekuja baada ya majenereta yake ya kufua/hifadhi umeme kufa. Sasa inakwenda 4-5km per litre. Sent using Jamii Forums mobile app
Top