Recent content by TheAnalyst

  1. T

    mume wa mtu

    Ukimkubalia, akikuzingua, hutakuwa na pa kwenda, kwani inawezekana akaelewana na huyo mpenzi wake na wakarudiana. Mambo ya mapenzi ni mazito dada. Achana kabisa na huyo mume wa mtu, kama ilivyo kwa wake za watu ambao ni sumu pia!
  2. T

    Full Text: Hoja Binafsi ya Mnyika iliyozua kizaazaa bungeni (na Ripoti ya CAG)

    CCM wamekuwa wakilalamika wapinzani kazi yao ni KUPINGA TU! Haya, sasa imekuja hoja ya kuleta maendeleo. Wanaoipinga ni nani? CCM! Sasa nani mpinzani?
  3. T

    Raslimali zetu na Mikoa ya Kusini mwa Tanzania – Nini hatima ya Gesi Asilia?

    Na TheAnalyst Kila linapotokea jambo zito hapa nchini, kunajitokeza pande nyingi za wadau, ambao kila mmoja hudai kuwa na mantiki ya kuelezea kiini cha jambo hilo, huku wale wenye kuujua ukweli, kwa sababu zao, huamua kukaa kimya kwa kuhofia, pengine, kuumbuliwa na ukweli huo. Hapo ndipo...
Back
Top Bottom