Recent content by The_bushman

  1. T

    Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    Habari Fundi…Nimechorewa ramani hii kwa hatua za awali kabla ya kuweka vipimo na kuendelea na hatua nyingine..Kwa uzoefu wako kuna nini cha kuboresha au kupunguza ili mchoraji aendelee
  2. T

    Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    Habari Fundi..Natarajia kuanza ujenzi wa msingi wa nyumba ya vyumba vitatu(2 master,1single),sitting room,dining,kitchen,store na public toilet. Eneo ni la kiwanja ni 35*16.5 tambalale liko mwanza Naomba kujua makadirio ya gharama za msingi
  3. T

    Naombeni msaada wa kupata mafuta ya ubuyu

    Kama upo Dodoma yapo ambayo yako kwenye package ya 200ml kwa ajili ya kupaka kwenye ngozi.
  4. T

    Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

    Tafuta dawa hii kwenye pharmacy Persol 2.5gel pakaa mara moja kila siku usiku tu. Ukiweza katika muda wote wa matibabu usipakae kitu chochote usoni isipokuwa dawa tu ukishindwa pakaa mafuta ya nazi. Baada ya kupona tafuta body lotion for oily skin au yenye lemon hii itakuwa inasaidia kukamua...
  5. T

    Mke wangu ameenda hedhi kwa siku tisa. Je, ni shida?

    Poleni sana hiyo inaweza kusababishwa na tatizo la hormonal imbalance..angalia kama anatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango kama sindano,njiti,matumizi ya vidonge vya dharula (p2)..kama jibu ni ndio basi amuone doctor ili aangaliwe ni hormone zipi zimezidi ili ziweze kurekebishwa
  6. T

    Msaada, Ugonjwa wa ngozi unaotesa Wanangu

    Habari .. Angalia vitu hivi ni lini mara ya mwisho umewapa dawa ya minyoo?,chunguza hiyo shida inatokea hasa baada ya kula au kunywa nini? Kwa maana kwamba wanaweza kuwa na allergy na baadhi ya vyakula pia kapime ujue kama wanamchafuko wa damu..
  7. T

    Mwenza wangu anasumbuliwa na kutoka damu kipindi cha ujauzito

    Zingatia ushauri wa mkuu hapa,kutoka damu hata tone moja sio salama kabisa kwa mjamzito
  8. T

    Maluweluwe ya vidonge vya ARV yanatokana na nini?

    Yeah hii inaenda kufanya disturbance katika sehemu ya ubongo na kupelekea mtu kupata hizo ndoto mbaya
  9. T

    Maluweluwe ya vidonge vya ARV yanatokana na nini?

    Mkuu hii tunasema huwa ni side effect za hizo dawa,ni dawa ambazo ziko katika mchanganyiko TLE(Tenofovir,Lamivudine,Efavirenz) hiyo Efavirenz ndio hupeleka mtu kuota ndoto mbaya na mara nyingi hudumu kwa week chache toka mtu aanze kuzitumia kama ikatokea mtu ameshindwa kabisa kuzioea hizo ndoto...
  10. T

    Chunusi zinanisumbua mwenzenu

    Tafuta hii tube inaitwa Persol 5%gel inapatikana pharmacy upake mara moja kila siku usiku wakati wa kulala…Epuka kupaka mafuta mazito
  11. T

    Dawa gani nzuri ya Bawasiri?

    Licha ya kutumia dawa jitahidi kuepuka mazingira yatayokuwa yanafanya bawasiri ijirudie mara kwa mara..Epuka kukaa choo muda mrefu,jitahid kwenda choo pale unapobanwa na haja ili kuepuka choo kuwa ngumu,punguza kula vyakula vitavyofanya choo yako kuwa ngumu(ngano) kama una uzito uliopitiliza...
  12. T

    Wapi nitapata matibabu ya tonsils sugu?

    Pole sana mkuu,,,unaweza ukaenda hospital Ukafanyiwa operation ya kuziondoa na tatizo likaisha kabisa
  13. T

    Msaada: Tiba sahihi ya H. pylori

    Tumia heligo kit kwa week mbili kisha endelea na omeprazole kwa mwezi mzima then ukapime tena
Back
Top Bottom