Recent content by The25824

  1. The25824

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimemaliza sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Hongera sana Aggy kwa kuhitimu masomo Muhimu wakati huu uko nyumbani,Tafadhari usiache kutushirikisha hapa jukwaani mambo ambayo yataendelea kuwa msaada wa kisheria kwa sie ambao hatujasoma masomo yako. Kupitia mafunzo yako mfano kama taratibu za kuzingatia kisheria wakati wa manunuzi ya...
  2. The25824

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibarua chochote Mwanza

    Ni pm namba ya Whatsapp mkuu
  3. The25824

    JamiiForums Tanzania Tiba kwa wanaolalamika sanaaaa

    Kwenye haya maisha , ni rahisi sana mtu kulalamika sana juu ya kila kitu kuliko kutoa mbadala. Ni rahisi kukosoa sana kuliko kuelekeza kwa njia nzuri ya kujenga wala sio kumponda au kumdhalilisha mwingine. Ili kuacha tabia hii , Njia nzuri ni kujitahidi kuuchunguza moyo wako juu ya...
  4. The25824

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ni magumu. Yamenifika kooni naomba ushauri

    Ahsante kwa kutushirikisha, Umefanya uamuzi sahihi wa kulieleza hapa naamini ni hatua mojawapo ya kulipunguza moyoni. Pia usiache kupata muda wa KULIA sana kama utahisi bado uchungu uko moyoni na machozi yanakujia. Tatu,Napenda tambua kwamba nafasi ya yeye kuwa mama kwako bado itabaki pale...
  5. The25824

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

    Mkuu Kamwe usipangiwe masuala ya ndani kwako na YEYOTE. Jichunguze hasa kama KOSA ni wewe au mkeo,Nachoamini mwanamke anaishi vile unavomuanzishia MWANZONI. Kama ulianza kwa kumonesha yeye ni BORA kuliko mama ako haya yanayoendelea ni matokeo ya muendelezo wa siku nyingi. Kumbuka,Huwezi...
  6. The25824

    JamiiForums Tanzania Sababu na mbinu za kuzuia ajali za barabarani

    Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...
  7. The25824

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mwanafunzi adaiwa kumuua mwenzake wakibishana umri

    Hii si habari njema kwa vijana wetu ambao ndio kwanza wanaanza Maisha. Mashuleni walimu si mbaya kujenga utaratib wa kuwaalika wataalam wa Afya ya Akili kuzungumza na vijana wetu. Lengo liwe kupewa elimu ya awali ya nini afya ya akili,zipi changamoto za afya ya akili na namna gani bora ya...
  8. The25824

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

    Maneno Matamu #3 Nimeuambia MOYO nikuone wewe pekee kila unaposukuma Damu. Kwa nini nisiwe na kiherehere unaponijia akilini mwangu. Mpenz sitaki anambie mwingine jinsi gani nikupende,Nimejiwekea sheria sitokuacha uende. Njoo unikande....Maumivu taratibu na mtima uutibu.
  9. The25824

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

    Maneno Matamu #2 Asubuh haijakamilika bila uwepo wako kipenzi changu. Umbali sio shida,ikiwa tu utatambua ni wewe wa kwanza nikufikiriaye kila napoamka. Iwe njema siku ya leo ,Upate ujumbe huu toka kwa mie nikupendae
  10. The25824

    JamiiForums Tanzania Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

    Bahati mbaya fursa ya kutotaja majina yetu halisi na wapi tunatoka kwa maana ya kazi ndio yanakupa weye uhuru wa kuyasema haya. Sitaki kuhukumu wala sitakasirika ,ila jitahidi kuwa upande wa yule ambaye unajipa uhuru wa kumsema vibaya kama ambavo umeandika hapa. Jiulize kama ningekupa shutuma...
  11. The25824

    JamiiForums Tanzania Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

    Mkuu habari, Kwanza hongera kwa kuwa jasiri na kuliweka wazi lile likusumbualo. Njia ya kwanza ya kupona ni kujua kinachokusumbua,na pia kuchukua hatua stahiki za kuweza kulitatua. Hatua ya pili ni kutafuta mtu ambae wewe utamuamini na kuyazungumza kwa kina yale uliyonayo moyoni. Safari ya...
  12. The25824

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

    Maneno matamu si lazima mashairi
  13. The25824

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

    Uambie kwanza moyo wako,Maana ilo kupata alo mzuri lazima nawe uwe mzuri.
  14. The25824

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

    Ohaaaaa, Kwenye mapenzi kuna vingi vinanogesha ,Mojawapo ni suala la kuambiana maneno matamu. Huenda yakawa kwa maneno ya kusikika au hata ya kuandikika. Najua si kila mmoja wetu ni mwepesi wa kutunga na kuyaweka vema maneno matamu yatakayomfurahisha ampendae. Acha kumuita mume au mke jina...
Back
Top Bottom