Recent content by The Worshiper

  1. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally amtaka Bernard Membe kujibu kuhusu kufanya vikao vya kutafuta kura 2020

    Kwahivo imeshindikana kumpa taarifa yeye binafsi na likaishia hukohuko mpaka kuongea hadharani tena kutema biti.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Iringa: Mahakama ya Wilaya yamwachia huru Abdul Nondo baada ya kutomkuta na hatia

    Kwa matamshi yote Yale ya Mwigulu,kumbe ilikuwa hewa tu, aje hapa sasa aongee tena. Hii nchi inavituko Kweli.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Uko wapi Dk Wilbroad Slaa? Njoo ushuhudie anguko la Mafisadi

    Nishampigia fisadi.Tumempenda wenyewe.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akabidhi Polisi Magari 399 mapya kati ya 777 leo Kurasini jijini Dar es Salaam

    Why now?? Hatishiki MTU hapa,mtaachia hii nchi asubuhi mapema jogoo la kwanza.watu ndivyo tulivyoamua.
  5. T

    JamiiForums Tanzania System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

    Hizo nguvu zoote na pesa nyingi mnazotumia kununua wasanii na kulipa wanamuzik kuwavuta watu kwenye kampeni,ni za nini.mngekaa basi msubiri kuapishwa.Kwanza wewe ni nani ikiwa tu mwenyekit wenu alishasema uchaguzi wa mwaka huu siyolelemama kama wenye akili mgando km wewe mnavyotaka...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Prediction: CHADEMA kupoteza majimbo 50% waliyokuwa wanayashikilia

    Kijasho kitakushuka teremka chemka .Ahahaha
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif ahutubia umati wa wafuasi wa CUF Buguruni saa 3 usiku jana

    Kwa Mara nyingine mpango wa CCM umefeli.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kazi inaanza na majeshi yapo imara

    Kutoka kaskazi mpaka kusi kutoka masharik mpaka magharib,tutashambulia kutoka makanisani.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Lowassa alijieleza kwetu tukamuelewa, pia wapo wengine wanakuja

    Wakati nchi IPO gizani kumbe mkuu wa kaya anasuka mpango wakupiga dili Richmond.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Vijana: UKAWA ni tishio la amani na usalama wetu

    Kama kilivyo chama chako cha mapepo naona umeshapagawa.Tukusamehe bure kwakuwa hii inayotema pumba siyo akili yako.
  11. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Vigeugeu, Wasaka tonge, Opportunists, double standard

    Maccm hofu imewashika yanajua kabisa Lowasa akihamia upinzani ni tatizo.Yamejaa woga na sintofahamu. Kwasasa hata akija nani ila inamaanishida tu ccm kuondoka madarakani ni BIG YES. NAICHUKIA CCM KULIKO KITU CHOCHOTE.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

    Watch your words u a cursed one.
  13. T

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Wapuuzi hao wanatumika.Kwasasa ni ngumu mno kuzuia wimbi la mabadiliko lililopo.Naichukia sana ccm.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Kwa Mara ya kwanza kabisa nimesoma comments zote sijaacha Hata moja; hapa ofisini wananishangaa.Huu Uzi mtamu aisee.Napenda Siasa ni tamu.
Back
Top Bottom