Recent content by THE WIND

  1. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Nawaza kwa sauti.HIVI MTUMISHI ANAJIHAMISHA AU ANAHAMISHWA MH SASA HAJAHAMISHWA KWA MIAKA NANE KOSA LA NANI.Sasa kama unajua katengeneza mtandao wa wizi wewe ukiwa kiongozi mwenye dhamana kumsimamisha kazi ndio umvunja huo mtandao je hao wengine wako wapi.Oh nawaza kwa sauti
  2. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtoto wa Mulla ambaye ni jangili amuua mtu aliyemhisi kumchongea, ajeruhi wengine

    Hii nimeishuhudia kwa macho yangu hapa wilayani Rombo kwenye kampuni ninayofanyia kazi.Dereva kibarua kimeota nyasi wakati kosa hajafanya yeye wala hakuwepo.
  3. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane akili za wanawake ambao tunakuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi

    Hujaona vituko wewe,unakataza kitu hiki usifanye madhara yake ni haya unaondoka unarudi mwenzio ndio kwanza ushoga umenoga wanapiga soga hata kuona hakuoni,kupika hana muda anakula kwa shogaye ukiuliza jibu:kwani nikienda kuna nini,unafuatilia mawasiliano yake sms za kijinga na kushauriana...
  4. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mchungaji amuonya Lema, atumia maandiko ya Biblia

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100][emoji125][emoji125]
  5. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka mahakamani kwenye kesi ya Mbunge wa Arusha, Lema

    Hahahaaaaaa hivi unaamini dini kweli.manabii wangapi walikutwa na madhila tofauti tofauti ilhali walikua wajumbe wa Mwenyezi Mungu unadhani masaa 300 ni mengi? Try to think big
  6. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka mahakamani kwenye kesi ya Mbunge wa Arusha, Lema

    Some of us are not serious
  7. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aagiza askari wanaodai mishahara tangu Agosti kulipwa

    Mh mi napita tu
  8. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Mume wangu hajishughulishi na familia, namfanyia kila kitu, nimechoka

    Hahahaaaaaa uwiii mama mbavu zangu[emoji38] [emoji23]
  9. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Giza kuu la NASA na dalili ya kiama kwa utabiri wa Mtume (s.a.w)

    Kwa mstakabali huo wangesema siku tatu lakini siku kumi na tano[emoji38] [emoji38] [emoji15] [emoji15]
  10. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Giza kuu la NASA na dalili ya kiama kwa utabiri wa Mtume (s.a.w)

    Hizi ni tetesi zisizo na ukweli wowote wa kisayansi. Nadhani ujuzi wa lugha iliyotumika kwa mleta mada ni dhahiri inamchanganya.
  11. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Hivi maafa ya Kagera zilichangishwa kiasi gani na zimetumikaje?

    B5. 4
  12. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Mjengo wa Ajabu anaomiliki Mh. Sitta Huu hapa

    Muda ukifikia hutaondoka na kitu. Ishi kama hutakufa na sali sana kana kwamba unakufa kesho
  13. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Godbles Lema umefikisha ujumbe kazi kwao kuupokea

    Kuna watu wavivu wa kufikiri hivi unaweza kupata TANZANIA bila Zanzibar Jaribu kutumia busara japo kwa kiasi kidogo.
  14. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

    "That is life"
  15. THE WIND

    JamiiForums Tanzania Maswali yangu niliyompa mwandishi wa habari amuulize Raisi sikusikia hata moja

    Mwandishi au mhadishi W na H ziko mbali sana
Back
Top Bottom