Recent content by The UPCOUNTRIAN

  1. The UPCOUNTRIAN

    Hizi safety boot bei gani wakuu?

    Nafungua claims za kuniita Mimi mshamba. 🤣 Nitaomba uliwe ban na fidia ya fedha kwa msongo wa mawazo ulionisababishia😅 Sasa nielekeze, wanaripoti vipi?
  2. The UPCOUNTRIAN

    Hizi safety boot bei gani wakuu?

    😅 hili agano lilitelemshwa manzese
  3. The UPCOUNTRIAN

    Hizi safety boot bei gani wakuu?

    Nitakuchongea kwa Melo akupige ban🤪🤣
  4. The UPCOUNTRIAN

    Hizi safety boot bei gani wakuu?

    🤣 hapana mzee. Kuvaa vya wizi sio.
  5. The UPCOUNTRIAN

    Hizi safety boot bei gani wakuu?

    Hapana, kuna mtu yuko bush huko, alikuwa anahitaji kwa ajili ya kazi zake. Ni kiatu cha usalama hicho sio cha ofisini au kwenda kuchumbia
  6. The UPCOUNTRIAN

    Hodophiles Thread | Mji wa Shinyanga nilivyouona

    Hii ndio shinyanga kiutawala. Halmshauri inaweza kuwa ni ya Jiji, Manispaa, Wilaya au Mji kutokana na levels zake. So, msalala na Ushetu, sio wilaya kiutawala ndio maana hazina DC—not administrative district, ila ni level ya wilaya kiutendaji(Halmshauri ya wilaya) na tofauti yake na Kahama...
  7. The UPCOUNTRIAN

    Viongozi kutoka Mikoa ya Pwani wanaihujumu sana Tanganyika

    Si punde huyu jamaa ataenda CHADEMA.
  8. The UPCOUNTRIAN

    Nini kinafanya wanawake wa siku hizi kutotaka ndoa?

    Binafsi sijaoa bado, ila nina amini ndoa ni jambo sahihi na la muhimu sana kwa mwanadamu.
  9. The UPCOUNTRIAN

    Hodophiles Thread | Mji wa Shinyanga nilivyouona

    Asante sana. Umenipa historia nzuri ya huo mji ya kiuchumi na kijamii. Hivi hawa wababe, walikuwa kama levels za Tabora kule Isevya, Chemchem, kiloleni n.k?
  10. The UPCOUNTRIAN

    Hodophiles Thread | Mji wa Shinyanga nilivyouona

    Sahihi. Kwa maneno mengine, Wilaya ni eneo la utawala, Halmashauri ni eneo la kiutendaji.
  11. The UPCOUNTRIAN

    Hodophiles Thread | Mji wa Shinyanga nilivyouona

    😆 ndio hiyo hiyo alama.
  12. The UPCOUNTRIAN

    Hodophiles Thread | Mji wa Shinyanga nilivyouona

    Totoz shinyanga kwa kweli ni za kawaida hakuna maajabu sana. Singida unajua ethnic integration imefanya hata totoz zake ziwe unique.
Back
Top Bottom