Anasema khsu range ambalo linasemekana amelipata kwa Achimw** watu hawataki kukubali kuwa ni mala wanakalia kwenye kivuli cha ni ya kwake acha aitembeze,
Anamtetea mdangaji 😂 😂 😂, anasema ipo siku atapata wa kudumu nae wakati mtu ni GOLD DIGGER binadamu bhana.
Mwanamke pekee ambaye trends zake over 90% ni kutiwa tu wanaume alaf hapo bado ana binti wa kike
Burna boy ndiye msanii namba 1 Africa kwa ndani ya hii miaka ya karibuni, ina maana ngoma zake zinapigwa sana Africa na viunga vyake??????? Umeweka List yako alaf unaziita "Hizo takwimu ni kutokana na performance" yaani list imegeuka kuwa takwimu 😂 😂 😂
Kwa hiyo WCB videos zao zina production mbovu kuliko wengineo alaf bado tuzo za kimataifa na matamasha mbalimbali wana opt kwa wenye kazi mbovu 😂 😂 😂 😂.
Mbona hamzungumzii harmonize alivyokimbizwa na D voice kwenye Swahili Kid vs Visit Bongo???????
Kwenye platforms km Boomplay, Youtube, Apple music, Audiomack album ya Swahili Kid iliongoza kwa streams & views na pia kushika chart za juu kuliko msanii yyte aliyeachia ngoma/album kwa wakati huo...
Sidhani kama hupo sahihi ndugu, Aubin Kramo kama muajiriwa wa Simba na Simba akiwa kama muajiri, pande zote mbili zina haki ya kujua na kutumiza makubaliano waliyoingia kimkataba.
Hivyo basi Aubin anajua fikra jina lake kuondelewa kwa msimu huu katika mashindano yote kwa vile Simba hawawez...
Trending ni tofauti na mauzo, ni vitu tofauti japokuwa trending ina chagiza pia mauzo ila ni vitu tofauti.
Ingekuwa trending ina zaa overall basi Dullah Makabila angekuwa miongoni mwa wasanii 5 wanaouza zaidi kazi zake.
Daah ina trend youtube (Tz) na audiomack (Tz) ikiwa namba 1 ila Mapoz ipo...
Hukuelewa, Diamond alipost streams, views and monthly listerners za digital platforms zake za kila mwezi huku yy akiongoza. Na gape likikuwa kubwa sana kati ya mtu wa kwanza na anayefuatia. Diamond hakupost trending
Nyie mmejitoa sio na International collabo 😂 😂 ambayo ina hit kondegang hq pekee yake. Mwaka jana D voice kawapa za uso album ipo kapuni, mwaka juzi napo Mbosso Khan Ep ikawapa tena za uso. Ss mmebaki kujipa ukupe msafiri na kiki za watu
Em taja MTV EMA aliyochukua Rayvanny, speaking of Rayvanny hizo ni efforts za Diamond pasipo Diamond Ray asingekuwa hapo.
Ukitaka kujua International shows zake ww tembelea IG page ya Diamond huwa anapost then utaleta majibu kuwa zile shows ni International au za muzikimnene
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.