Recent content by the ultimatum

  1. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

    Kuna mambo huwezi kuyaelewa mpaka uwe umeshiriki. Kuna wakati katika maisha niliwahi kutoka na mke wa mtu, yule mwanamke baada ya muda fulani akawa hana hamu tena na mume wake! Na akawa ana mizozo ya hapa na pale, na akawa naniambia hana hamu tena na mumewe na hakumbuki mara ya mwisho kumpa...
  2. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Ndugu bidhaa ya miti thamani yake huanza ndani ya miaka 10 ya kupandwa kwake. Ni ufinyu wa mawazo kuwaza miti hutumika kwa mbao pekee. However ukiuza miti ya miaka 40 au 50 thamani yake haifanani na ukiuza miti ya miaka 10 au 20. Nadhani tuishi humo
  3. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Nashukuru sana, umeiweka vizuri sana hii. Barikiwa sana
  4. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Hapana, nauza miti tu. Shamba nataka nifanye kilimo cha mpunga
  5. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Njoo na milioni 20 ndugu tufanye biashara
  6. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki ni kigumu, pesa haina thamani kwangu

    Usihuzunike mkuu, elewa kuwa nyakati ngumu hazidumu. Mimi pia nilipitia hiko kipindi, ilikuwa ni ngumu kukubali lakini nilizoea na maisha yanaendelea. Najikuta nina amani ya moyo sana kwasasa. Vumilia, tafuta fursa za kipato, pambana na maisha furaha kuna siku itakuja tu. Wanawake siyo ndugu...
  7. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Ina miaka hiyo niliyosema, nilipanda eneo ambalo liliingia maji baadae kwahiyo ipo miti ambayo iliathirika na maji katika ukuaji lakini ipo ambayo ilikuwa vizuri. Mitiki huwa haipendi maji mengi. Mingi iliyokua vizuri haikupitiwa na maji sana. Miti yote hiyo ina miaka si chini ya 19
  8. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Hiyo nilipanda mimi mwaka 2007 nikiwa kidato cha tano. Na sasa hv nina miaka 38 wajukuu gani unawazungumzia. Na kwa taarifa yako hiyo nitapata pesa nzuri tu ya kukidhi mahitaji yangu. Uvivu tu wa kuogopa kujaribu
  9. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Kwasababu ipo shambani na ukubwa ni tofauti tofauti, nashauri tutembelee shamba tuifanyie tathmini pamoja nachoamini hatutashindwana. Kwa kwaida mtiki mmoja uliokuwa mkubwa kabisa, hufika bei mpaka 300,000 ila kwa ya kwetu sisi bei itakuwa chini kidogo kulikangana na ukubwa wake. Ingawa ni...
  10. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Huwezi kunipangia cha kufanya kwenye mali yangu. Jitazame asee
  11. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Habari za wakati huu. Picha nilizoweka hapo ni mitiki yangu ipo kwenye shamba langu jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Natafuta mteja anaefanya shughuli za mazao ya miti au mfanyabiashara wa mazao hayo. Miti yote ina umri sawa ilipandwa mwaka 2007, ina miaka...
  12. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Mchiriku: Hisani Musical Club (Gari Kubwa)

    Walishindwa watu kweli wazazi wa majumbani Wenye kutoa ukali na radhi za midomoni Utakuwa wewe nani utafanya jambo gani. Nawaeleza visonoko wasiopenda hisani Nawaeleza visonoko wasiopenda hisani Namimi nawaeleza hisani inaendelea...
  13. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Nautafut wimbo wa Pasha wenye maneno yafuatayo:"Thamani ya kitu ajuaye mwenye chake"

    Wimbo unaitwa Namuimbia 🔥🔥🔥
  14. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za mfumo wa Ajira Portal zinachochea Matapeli kuigeuza fursa!

    Vyeti vyote nime appload, vipo ninavyo hata hapa nilipo
  15. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za mfumo wa Ajira Portal zinachochea Matapeli kuigeuza fursa!

    Namba ya NIDA nimeweka vizuri kabisa
Back
Top Bottom