Recent content by The topnotch

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ujue mchezo wa aviator au kindege na siri zilizojificha nyuma yake

    Aviator ni mbaya Sana na NI nzuri Sana endapo ikiwa kwenye bahati yako mwanzo mm aviator ilishawahi kunipa loss yah 2.5m sikuamini kilichotokea mpaka nlikata tamaa lakini badae nikajifunza trending ya mchezo na nlimanage kupata faida ya 8.3m.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Mwenye kujua mishahara ya REA kwa ngazi ya diploma atufahamishe plz
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ulevi ulitaka kuniponza

    Sehemu ya kwanza Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019, kipindi hicho niko chuo mkoa wa Mbeya katika harakati zangu za hapa na pale. Mimi nilikuwa ni mtu wa kwenda sana klabu kupata mbili tatu za hapa na pale, sasa siku moja nikaenda klabu moja maarufu sasa jijini Mbeya Katika hapa na pale, si...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nimemhudumia kwa zaidi ya 900k Guest, lakini kanipiga tukio

    Piga chini uchafu huo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

    Mwanaume ulia lia kwasababu ya mapenzi ni ujinga fanya kazi tafuta hela
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Umeamua vizuri ila unatakiwa umpe talaka kabisa huyo hakufai tena
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

    Hapo unahitaji msaada wa kisheria tuh kupata mtoto na si vinginevyo kwa msaada zaidi nicheck inbox
Back
Top Bottom