Nimeona mtu fulani anawazungumzia waganga kwa kuwahukumu baada ya kifo, niseme wazi nimesikitishwa sana na hilo...
Hivi anajua hao waganga wamesaidia watu wangapi leo ambao wangekuwa mashoga, wasagaji, makahaba, wahalifu, matasa, misukule (kwa kulogwa) wakawasaidia, wakaepukana na hayo madhila...