HIKI SI TU KITABU, NI ZAWADI YA AFYA KWA KIZAZI CHAKO
Katika dunia inayokumbwa na changamoto za kiafya kila uchao, maarifa sahihi si hiyari tena ni hitaji la lazima.
Tunapozungumzia uzazi, hatuzungumzii tu tukio la maisha, bali tunazungumzia mwanzo wa kizazi kipya mwanzo wa matumaini...
JE INAWEZEKANA?
Mimi ni mmoja kati ya watu wanaoishi maisha ya upweke kwa muda mrefu hivyo starehe yangu kubwa baada ya shughuli zangu za kila siku ama ninapopata nafasi ya kumpumzika ni kusoma vitabu.
Hata kabla ya kuandika ninachotaka kuandika siku ya leo mapajani mwangu nilikuwa nimeshika...
PESA NJE YA AJIRA.
Wapo watu wengi ambao wanashindwa kufanya biashara japokuwa wana mitaji ya kutosha na hii inatokana na sababu ya kwamba wanakuwa wametingwa na ajira zao.Pale wanapojaribu kufanya biashara mara nyingi huangukia pua na kupata hasara kwa sababu ya biashara zao kukosa usimamizi wa...
JIFUNZE KUTENGENEZA SABUNI ZA MAJI
Katika harakati zetu za utafutaji wa pesa leo ninaomba tuzungumzie kuhusu utengenezaji wa sabuni.Sabuni hizi unaweza kuzitumia katika kufulia,kuogea,kuoshea vyombo na kusafishia chooni.Sabuni hizi unaweza kutumia kwa matumizi yako ya nyumbani au kuuza maeneo...
IFAHAMU BIASHARA YA AMAZON FBA.
Fulfilment By Amazon (FBA).
1.AMAZON ni nini?
AMAZON ni kampuni inayohihusisha na uuzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao yaani mteja atachagua bidhaa anayoiitaji kisha atalipia baada ya malipo AMAZON watamletea mteja bidhaa hiyo mpaka mahali alipo nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.