Recent content by The spice onee

  1. T

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mbulu Mtwara nije Arusha mjini au Arumeru sehemu yoyote 0686 184772
  2. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Wamevurugwa! Uoga mwingne wa kitoto
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wakati huu wa Kampeni, UKAWA waanzishe kitengo maalum cha kurekodi matukio

    Big up on yourself!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kweli pesa tamu, Gazeti la Raia Mwema siamini kama mmeiacha njia Kuu, mnasikitisha sana

    Me hata sishangai watu kuiponda UKAWA wala CHADEMA! Ccm ipo tayar kununua watu watakaojfanya wana ushahid na wengne wajfanye wanajua kila kitu kuhusu hiyo UKAWA alafu mkishadanganywa na kugombana octoba mnawarudisha madarakan. Wanaanza kuwaona mazombie! Baada ya miaka mi5 mnaanza tena kupga...
  5. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanyimwa ruhusa kutumia Uwanja wa Taifa Kwenye uzinduzi wa Kampeni

    Aisee! Uoga mwingne bwana!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Angalia namna Lowassa anavyojichanganya na kuonyesha mapungufu yake mengi

    Nonsense! Kapige mbizi
  7. T

    JamiiForums Tanzania CCM ni lazima watafute namna muafaka ya kupata wagombea

    Uko sahihi sana Jombaa! Lowassa angeweza kuchill tuu na kusubir, lakini kwa ubabe uliotumika na yeye akaamua aonyeshe kwamba kuna maisha nnje ya CCM
  8. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA officially ni CCM 'B'

    Wewe umekosa hoja au? Get some sleep usituchoshe ndooroobo
  9. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA Jaribuni Kuwa Smart kidogo, Mnachosha!

  10. T

    JamiiForums Tanzania Lipumba: CCM ina wagombea wawili, Lowassa na Magufuli

    yah really! Lowassa is People's choice. Sasa mshikaji kaona kwa mara ya kwanza Tangu dunia iumbwe upinzani unashinda urais Tz kitu ambacho aliktamanigi akashindwa anajiona naked!!! Lazima tukubali na tulazmike hata kama hamna ushahidi kwamba we jamaa una uzombie!...tumepambana lakin wakat...
  11. T

Back
Top Bottom