Recent content by the son of massay

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, unateua kwa lengo la kupambana na wapinzani au kuleta maendeleo?

    Nchi Hii inahitaji maombi ya kweli sio unafiki. Tupo kwenye mkwamo Kama nchi ambao unahitaji dhamira ya kweli Kwa viongozi wetu.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais kuwa makini na ziara nyingi za kuelekea kanda ya ziwa

    Mtoa uzi hiyo ni mtazamo wake. Lkn ukiangalia kwa makini utaona Kuna chembe za ukweli!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji la Arusha Chini ya CHADEMA Yafanya Kweli

    Chadema bwana, respect Sana
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Nyamongo. Vijana Hawataki Kusikia Habari za Mbowe

    Who are they waende huko
  5. T

    JamiiForums Tanzania Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    Poor politics
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wananchi kanda ya ziwa waanza kurudisha kadi za CHADEMA!

    Mdau anaandaa picha anirushie ili nizibandike hapa. [/SIZE][/QU, mmh, subiria mziki October ndio mtajua UKAWA ni nani
  7. T

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Hapo wanao baki ni 1. B. Membe 2. J. Makamba, 3. A. Ally mwisho wa kuwasilisha
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ambulance ya Godbless Lema yawasili

    Waungwana husifia matendo mazuri na hukosoa matendo maovu, sikutegema huo ushuzi wa baadhi ya wachangiaji!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mkosamali: Tulifanya vurugu ili tufukuzwe Bungeni

    Watanzania nani kawaloga?? muswada wenye maslahi mapana ya taifa yajadiliwe kwa siku moja, Idiot! halafu mnacheza ngoma msio ifahamu period!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Simchukii mtu, Lakini kwa utaratibu huu tutafika?

    kweli unaweza ukawa umelaaniwa lakini usujue kama umelaaniwa!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nimelazimika kuileta hii video hapa, Nisamehe CHADEMA

    We Mungu angalia taifa lako na watu, kwani wanaangamia kwa kukosa maarifa
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naiona vita ya Zitto Kabwe na Kafulila, Kafulila akitengenezwa kuwa mbadala wa Zitto

    Frankly speaking, Zitto anamchango wake kwenye Chadema kwa muda aliokuwepo hilo halina ubishi, kama ilivyo hulka kwamba unawezatenda mema elfu moja lakini uka tenda ovu moja ikafuta yote mazuri uliyofanya. Baya zaidi ni usaliti ndani ya chama, kuna mambo ya kusamehewa kwenye siasa lakini sio...
  13. T

    JamiiForums Tanzania GE2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    Nonsense! kinyonga ana mambo!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa achukua fomu kugombea Urais mjini Dodoma

    Hakatwi mtu hapa
  15. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA vunjeni UKAWA

    Jamani tuacheni ubaguzi, angalieni kenya wameunganisha nguvu wakafanikiwa sana! sasa tukiaanza kubaguana sasa hatutafika mahala. wananchi wapeni ukawa nchi ndio kauli mbiu wadau!
Back
Top Bottom