Punguzeni kelele sisi wana CCM tunapendwa sana. Hayo maji si ukachote kwa jirani? Mbona vijijini wanatembea kilometa tatu kutafuata maji na hatuoni wakilalamika? Nyie watu wa Dar mna tatizo gani lakini?
Kama Trump alivyosema, Africa inatakiwa kukaliwa upya kwa mfumo wa ukoloni, na biashara ya utumwa yapaswa kurejeshwa ikiwalenga watu wa Africa ambao wameonyesha udhaifu mkubwa kujitawala licha ya kupewa misaada lukuki.
Hutasikia watanzania wakihakikishiwa usalama wa mali zao. Hutasikia watanzania wakihakikishiwa usalama wa rasilimali zao. Hutasikia watanzania wakihakikishiwa uhakika wa haki zao, zikiwepo za kuchagua viongozi wanaowataka kwa uhuru.
Mama aache ulevi wa madaraka. Usalama wa uwekezaji utawezekana...
Siyo kila mtoto analazimika kusoma pre form one. Lakini kuna vichwa vingine kwa mazingira yao washauriwe waende haraka kabla hawajajiunga na makundi mengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.