Recent content by The Remaining Soldier

  1. T

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Itungwe sheria maalum kujinaisha (Criminalize) vitendo vya kusifia viongozi wa Umma!

    Watu walisema anaumwa bipolar disorder mkabisha .
  2. T

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamuonya Anthony Diallo

    Haya mbivu na mbichi zote hadharani , watu walisema mgonjwa wa bipolar disorder mkapinga mataga sasa yametoka hukohuko ccm , milembeism .
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

    Sasa si akubali katiba mpya kabla ya hizo chokochoko ? Au anazisubiri zianze?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba, Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe akamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Hivi huu upuuzi wa kukamata watu hovyo bado unaendelea awamu hii? Tawala nafsi usitawale miili .
  5. T

    JamiiForums Tanzania Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

    Maswahiba wa Ibilisi mwendazake wanamfuata alianza Songolo kafuata huyu .
  6. T

    JamiiForums Tanzania Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

    Chawa wa mwendazake mbona mnahagaika sana kama kuku anataka kutaga .
  7. T

    JamiiForums Tanzania Waziri analeta bajeti inayomkamua mlalahoi huku amekunja ndita, zikiliwa hawajibiki wala hatimuliwi. Hili lifike mwisho

    Unapunguza kodi ya bia unaongeza bei ya petrol hii ni akili matope ?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyangali aachiwe mara moja

    Yaani nchi nzima wanajua kale kabinti ka arusha kalienda kumuwekea dawa za kulevya , kesi feki za kubambikizwa naunga mkono hoja aachiwe mara moja .
  9. T

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kujivunia Cheo cha Kuteuliwa, yasije kukukuta ya Chalamila

    Wakati anatumbuliwa lori la mizigo yake lilikuwa Nzega halijafika hata Shinyanga amegeuza nalo .
  10. T

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Na lile alilosema akitumaliza sisi wapinzani atawarudia nyinyi ,rejea kilichompata Nape , January Makamba , Membe .
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri kwenye Ziara ya Rais Samia Suluhu. Azindua Kiwanda cha Kusafisha dhahabu na Jengo la (BoT)

    Atazindua viwanda vya ukweli au vile vya kisanii vya marehemu mwendazake .
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2021/22: Wadau tunakataa kodi ya Majengo kulipwa kwa LUKU

    Mwigulu katokota sio kuchemka huko , watu walisema huyo kafoji kihiyo huyo sasa huu ndio uthibitisho .
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

    Kumuwekea wanasheria sio msaada? Mataga bana toka Jiwe akutane na mkono wa bwana wamechanganyikiwa kweli mara waote ndoto za mchana , usiku .
  14. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kazi kwa weledi sioni upinzani kama una tija kwa sasa

    Hata siku mia hajafikisha unasifia ? Unajua huko mbeleni ? Umetumia tathmini ipi formative au summertive evaluation ?
Back
Top Bottom