Mdude Nyangali aachiwe mara moja

Mdude Nyangali aachiwe mara moja

Naomba mahakama zimwachie mala moja Mdude Nyangali

Hatutaki hapa kesi uchwara tena kwenye taifa letu

Kuna wanaosema Rais aingilie kati kesi hii Mimi nakataa Mdude hana kesi yeyote ya kujibu ni uonevu tu na chuki za Magufuli kwa wapinzani wake.

Halafu mnataka tuwe na uzalendo, uzalendo gani mnataka bila kutenda haki.

Mdude Nyangali aachiwe kwanza halafu waliombabikiza kesi akiwemo Chalamila waombe radhi na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria.

Nchi hii sio ya Ccm wala Rais aliyepo madarakani.

Hukumu yake itekelezwe halaka kama alitenda kosa kwanini ushahidi haukamiliki miaka 2 sasa?

Resources zinazopotea kwenye kesi uchwara ni kodi ya watanzania.

Baada ya haki ndio uzalendo utafuata.
Tulia. Kunywa maji upumuzike. Mwenye nguvu na huruma yupo na anawalipiza watesi na waonevu. Tazama wanavyolipa mmoja baada ya mwingine. Kwa hiyo Mdude atakuwa huru na hai.
 
Naomba mahakama zimwachie mala moja Mdude Nyangali

Hatutaki hapa kesi uchwara tena kwenye taifa letu

Kuna wanaosema Rais aingilie kati kesi hii Mimi nakataa Mdude hana kesi yeyote ya kujibu ni uonevu tu na chuki za Magufuli kwa wapinzani wake.

Halafu mnataka tuwe na uzalendo, uzalendo gani mnataka bila kutenda haki.

Mdude Nyangali aachiwe kwanza halafu waliombabikiza kesi akiwemo Chalamila waombe radhi na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria.

Nchi hii sio ya Ccm wala Rais aliyepo madarakani.

Hukumu yake itekelezwe halaka kama alitenda kosa kwanini ushahidi haukamiliki miaka 2 sasa?

Resources zinazopotea kwenye kesi uchwara ni kodi ya watanzania.

Baada ya haki ndio uzalendo utafuata.
Exactly, kumbe Chalamila ndio muhusika mkuu wakumbambikia kesi uyo Kijana
 
Yaani nchi nzima wanajua kale kabinti ka arusha kalienda kumuwekea dawa za kulevya , kesi feki za kubambikizwa naunga mkono hoja aachiwe mara moja .
 
Naomba mahakama zimwachie mala moja Mdude Nyangali

Hatutaki hapa kesi uchwara tena kwenye taifa letu

Kuna wanaosema Rais aingilie kati kesi hii Mimi nakataa Mdude hana kesi yeyote ya kujibu ni uonevu tu na chuki za Magufuli kwa wapinzani wake.

Halafu mnataka tuwe na uzalendo, uzalendo gani mnataka bila kutenda haki.

Mdude Nyangali aachiwe kwanza halafu waliombabikiza kesi akiwemo Chalamila waombe radhi na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria.

Nchi hii sio ya Ccm wala Rais aliyepo madarakani.

Hukumu yake itekelezwe halaka kama alitenda kosa kwanini ushahidi haukamiliki miaka 2 sasa?

Resources zinazopotea kwenye kesi uchwara ni kodi ya watanzania.

Baada ya haki ndio uzalendo utafuata.
Umefoka
 
Mbinu za kishamba sana !
Hawa ccm ni matahira na wana roho za kiibilisi sana, halafu utawasikia wakihubiri amani, umoja upendo na mshikamano.
Mimi nashukuru Mama yangu alihama hicho chama na kujivua nafasi zote za uongozi otherwise angekufa akiwa ccm ningefanya sherehe kama nilivyofanya kwa marehemu chapombe ********
 
Kwa Muda mrefu serikali inapambana na wauza Dawa za kulevya.
Ikaacha kupambana na wezi na majambazi wa fedha na mali za umma waliokuwa wakiongozwa na mtu mzima mzee aliyekosa maadili, nidhamu na hata aibu marehemu magu fool ikaanza kuwaframe kesi kina mdude na watanazania wazalendo waliokemea wahuni wa ccm.
 
A man is Serial ilicit drug Dealer unamuachiaje mtu aliyekamatwa na Contraband?

Drug Dealer unawajua Mkuu? Drug dealer anaishi kwenye nyumba ya kupanga chumba na sebule? Drug dealer anauza makava ya simu? Acheni kuonea watu mtapa laana na vizazi vyenu vinne.
 
Gram 0.01 inatosha kumlevya mtuu.

Sasa mmemkata kama mtumiaji au muuzaji? Kama mtumiaji why apewe uhujumu uchumi? Kama muuzaji ,je muuzaji gani ana gram 23 au mzigo wake ulikwisha? Muuzaji gani ambaye hajawai kusafiri nje ya TZ?
 
Naomba mahakama zimwachie mala moja Mdude Nyangali

Hatutaki hapa kesi uchwara tena kwenye taifa letu

Kuna wanaosema Rais aingilie kati kesi hii Mimi nakataa Mdude hana kesi yeyote ya kujibu ni uonevu tu na chuki za Magufuli kwa wapinzani wake.

Halafu mnataka tuwe na uzalendo, uzalendo gani mnataka bila kutenda haki.

Mdude Nyangali aachiwe kwanza halafu waliombabikiza kesi akiwemo Chalamila waombe radhi na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria.

Nchi hii sio ya CCM wala Rais aliyepo madarakani.

Hukumu yake itekelezwe halaka kama alitenda kosa kwanini ushahidi haukamiliki miaka 2 sasa?

Resources zinazopotea kwenye kesi uchwara ni kodi ya watanzania.

Baada ya haki ndio uzalendo utafuata.

Mkuu kama unaweza ruhusu Mtoto wako atukane vile Basi mkuu Familia yako kazi na iendelee. Sijui hayo mambo ya madawa. Mahakama itaamua Lakini kwangu mimi jamaa yako hana ustaarabu hata wa kuitwa binadamu. Lakini sishangahi, mana Ni Kama lugha ya wanachama wengi. Hapa mtu akiwa na hoja tofauti tu atapokea tusi au kupewa chama. Hakuna tena kusimamia Ukweli wa hoja.

Bahati mbaya zaidi ukiamua kusoma maujumbe ya vijana wanaojihita Wapinzani na wanademokrasia, unapata ukakasi na kichefuchefu. Ni wabaguzi. Wazandiki na watukanaji na waleta mada sisizo watambulisha wao na chama Chao Bali majungu.

Mdude alipaswa awekwe chini na chama chake, apuliziwe dawa mdomoni na kichwani bangi iondoke akitumkie chama. Mtaani kwako mtu mwenye matusi Yale, hupokea kichapo mpaka anakuwa mlokole.
 
Bila kumsahau yule mwenyekigoda wa uvcccm

Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israel Isaka na Musa atatenda sawa sawa na mapenzi yake. Yote tumemwachia Yeye Muumba wa Mbingu na Nchi. Tenda Haki Bwana wa Majeshi.
 
Back
Top Bottom