Watamuachiaje wakati anatishia tumbo lao,si unajua waafrika bado wapo kwenye stage ya ukuaji.
Mambo ya domokrasia wapi na wapi.
Mtu ana vimada 20 atakubali vipi atolewe nje ya mfumo.
Hao vimada atawauhudumia nani.
Anaishi ndoto zake na haishi utajiri wake, yaani kwke utajiri sio ishu big deal bali anachojali ni kutimiza tu ndoto zake.
Aishi kwa kufuata matakwa ya jamii inaitwa matrix kwa sababu aendeshwi na nje bali ujiendesha tokea ndani mwake
Watu kama wale huwa wanaishi kwenye upeo mwingine zaidi ya watu wa kawaida.
Ukiwachukia wewe ndie utakaeumia wanaitwa independent person na sio dependent people.
Yaani wanaishi kwa akili zao na sio kwa hisia zao.
Hawapo kwenye level za maumivu.
Nadharia za kuumia zipo kwa level ya masikini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.