Vikosi vya ulinzi vya Chadema Red Brigade, vijipange Kalenga na Chaguzi zijazo hali haitakuwa salama kwetu kama ambavyo imekuwa siku zote, Wafuasi wa Chadema wamekuwa wahanga wa green guard kila uchaguzi, na sasa Amiri Jeshi Mkuu, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi la Green Gaurd ambaye ni Mwenyekiti...