Si hapo liambie hilo jarabu jeusi
Serengeti shall never die,Kama ndo hivyo Kwa nini Zanzibar isiongoze kuwa kwenye top ten angalau kwenye eneo linalopendwa Africa
Tumia elimu yako vizuri mbona huwa nakuona Kama mtu wa maana!ata Kama ni vyeo havitafutwi Kwa namna hiyo na nyeupe itabaki kuwa nyeupe tu na kinyume chake ni sahihi
Uchumi gani Zanzibar iliyonayo zaidi ya watu kushindia boflo na kuendelea kuwa watumwa wa kiarabu! Nyerere alifanya makosa sana eti tembo waungane na sungura na malisho yao yawe ya uzito sawa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama ndo hivyo mbona wanazidiwa maarifa na hao wazungu hii ukijumuisha katika
Sayansi na michezo hiyo dini yenu ya kikoloni imefikia hatua waafrika tuamke tuachane na huo utumwa.
Jamani sote tunajua malaria ni ugonjwa gani ?Moja ya jambo gumu na ambalo limeshindwa kufanyiwa utafiti na wasomi wetu ni hii kadhia ya kuhani msibani na sherehe mbali mbali Kama harusi ndo chanzo kikuu Cha kuenea huu ugonjwa wa malaria Barani Afrika kwa ujumla,samahani kwa mtakao ona kma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.