Recent content by The patriot man

  1. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Daah Roho yangu inaniuma Maumivu ni makali sana naombeni msaada

    Choko ni wewe takataka
  2. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Daah Roho yangu inaniuma Maumivu ni makali sana naombeni msaada

    Anglia nimejiunga Jamii forum lini paka wewe.. mimi sio mtoto takataka
  3. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Daah Roho yangu inaniuma Maumivu ni makali sana naombeni msaada

    Ndo Nina mpango huo mkuu
  4. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Daah Roho yangu inaniuma Maumivu ni makali sana naombeni msaada

    Nilishindwa kumuaga mkuu na manyanyaso niliyokua namfanyia
  5. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Daah Roho yangu inaniuma Maumivu ni makali sana naombeni msaada

    Wakuu kwema ? Hope mko salama kabisa Mimi Nina kisa changu ambacho kinanitesa saana tena sana kila nikikumbuka najitahidi kusahau baada ya mda Hali inarudi upyaa. Nilikua na mpenzi wangu alikua anafanya kazi kampuni flani hivi.. Sasa mpenzi wangu alikua ni Mzuri sana meneja akawa anamtaka...
  6. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumeanza udini?

    Kulingana na hotuba ya mama una lipi la kusema?
  7. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumeanza udini?

    Daah hali ni mbaya kwa hotuba ya muheshimiwa imethibitisha rasmu
  8. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo tumehamia TEC vs BAKWATA and TEC vs GOVERNMENT? HALI MI MBAYA

    Ni kweli hali wewe unaionaje?
  9. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo tumehamia TEC vs BAKWATA and TEC vs GOVERNMENT? HALI MI MBAYA

    Serikali mpaka sasa zimebaki siku 4 tuu kufikia 9 dec Watanzania wenzangu tusiandamane maana sasa hivi vita ni kati ya TEC na serikali ya Tanzania, BAKWATA NA TEC hii vita vya udini ni mbaya sana In God we Trust
  10. The patriot man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Waziri Rizziwani kasema yupo tayari kuhojiwa na kamati kuu ya madili ajibu tuhuma za umiliki wa sheli za lake oil.. hii ina maana ya kuwa yeye siyo mmiliki? Na na hizo rumors zilitokea wapi na yeye akahusishwa na umiliki? Pia kasema matendo ya viongozi wa serikali ndo yamepelekea maandamano...
  11. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Anzeni michakato ya kuwatengenezea Gen Z fursa. Labda hasira yao itapungua

    Najisikia vibaya sana daah
Back
Top Bottom