Recent content by The outpost

  1. The outpost

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anasimama anasema foleni inasababishwa na magari machafu yasiyo na AC

    Uyu jamaa Mungu amsaidie sana. Sijui tumefikaje huku
  2. The outpost

    JamiiForums Tanzania Mnaobisha kuwa Ayatollah Khamenei hajafa mwambieni ajitokeze basi ili tujue kuwa yuko Fiti na Hai

    Sio confirmed news mkuu punguza kuongea kwa uhakika kama umeona mwili wake
  3. The outpost

    JamiiForums Tanzania Hivi ni program ipi ya Ai unaitumia kwa sasa na unaitumia kufanyia kazi gani ?

    Anza wewe, unatumia ipi na unaitumia kufanyaia kazi gani
  4. The outpost

    JamiiForums Tanzania Nimepitia baadhi ya picha nimeona vijana wanaoongazana na Mafwele hawafai kuwa Askari wa Jeshi la Polisi...

    Naunga mkono hoja. Jeshi la polisi limejaa vibaka na wahuni
  5. The outpost

    JamiiForums Tanzania KERO Kwa sasa ukiunganishiwa umeme Meter mpya zinakuja na deni la kodi ya ardhi la tangu mwezi Julai 2025

    Unajua tofauti kati ya Taxation na double taxation
  6. The outpost

    JamiiForums Tanzania KERO Kwa sasa ukiunganishiwa umeme Meter mpya zinakuja na deni la kodi ya ardhi la tangu mwezi Julai 2025

    Bila shaka unanufaika na double taxation mnazotoza kwa walala hoi
  7. The outpost

    JamiiForums Tanzania KERO Kwa sasa ukiunganishiwa umeme Meter mpya zinakuja na deni la kodi ya ardhi la tangu mwezi Julai 2025

    Utitiri wa kodi haijawahi kuwa chanzo cha maendeleo
  8. The outpost

    JamiiForums Tanzania KERO Kwa sasa ukiunganishiwa umeme Meter mpya zinakuja na deni la kodi ya ardhi la tangu mwezi Julai 2025

    Khaaa huo ni ukandamizaji na unyonyaji usiokubalika abadan.
  9. The outpost

    JamiiForums Tanzania Je huyu ni mmoja ya wasiojulikana?

    Duh
  10. The outpost

    JamiiForums Tanzania Hovyo kabisa Wewe Msemaji na ndiyo unayetuponza pakubwa sana kila Siku hadi sasa tumebaki 'kudemadema' tu Kimatokeo viwanjani

    Achana nao, wanashindwa kutenganisha FACTS na HISIA. Wanadhani ukiwa unakosoa kitu ni kuwa na chuki nacho
  11. The outpost

    JamiiForums Tanzania Hovyo kabisa Wewe Msemaji na ndiyo unayetuponza pakubwa sana kila Siku hadi sasa tumebaki 'kudemadema' tu Kimatokeo viwanjani

    Naunga mkono hoja , imefikia mahala Ahmedy Ally anasifia hadi upumbavu ambao unaonekana wazi. Kila mchezaji anamkuza kwa ukubwa ambao sio wake ili kutetea kibarua chake cha usemaji bila kujua kwamba anaharibu timu kwa mikono yake, labda niwe mkweli sidhani kama kazi yake ni kusifia kila usajili...
Back
Top Bottom