huez fananisha manispaa ya mosh na Dodoma even mkoa mzma wa dodoma na Kilimanjaro.
Kilimanjaro imeendelea na nimeish kote kuanzia morphological structure ya mji n.k
unajua mtu wanamna hiyo anashindwa kujua continuous success ya huyo mtu inasababishwa na nn!? kama elimu silolote aajiri darasa la saba wenzake af baada ya miez sita muone alipo! pia anashindwa kujua na kutofautisha neno Elimu katika nadharia tofaut na ujinga n pale unapokaa na kufkir only...
kiitifaki diamond yupo sahihi kabsa kwasababu yeye amesikia nyimbo zake zmefungiwa kupitia press conference aliyofanya naibu waziri kwasababu yey n msanii ten amesajiliwa na kaz zake znajulikana kulikua kuna shda gan kwa baraza la sanaa kuandika tu barua kwa wasanii wote kwamba tumefungia...
may b sifaham ila niulize tu hiv clouds media group inamilikiwa na mtu mmoja au ni zaid ya mmoja ambapo kila mtu anahisa zake!?
Kuna ruge na kusaga wote n watu wawili wenye nguvu ndani ya clouds media group ninan mmliki halisi wa hii media!?
kwa mujibu wa Diamond soon anaanzisha wasafi media je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.