Sasa watu wakupe bure wakati kuishi it means business yaani watu wakae chini wafanye tafiti Kwa gharama kibao waje na solution Halafu wawapatie Bure Hakunaga dunia ya namna Hiyo , wale wanao amini kwamba huwa tunapewa misaada bure ni wazi kwamba hawana akili na hawato kuja kuwa nazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.