Hili wimbi la watu kulawiti watoto mbona limeanza kua kama fashion, saizi kila mtu anaona sifa kuonekana mitandaoni, mimi nashauri serikali ijaribu kufanya namna yoyote ili adhabu kali iwepo kukomesha hii tabia.
Mfano mtu analawiti mtoto wa miezi sita! Duh hii mbaya sana serikali ifanye jambo...
Kwanini serikali ya Tanzania haina mpango wa kupeleka satellite yake Angani kama moja ya ukuaji wa kiuchumi ili kulinda siri ya nchi dhidi ya cybercrimes?
Pia soma:
Serikali ya Tanzania yaanza mchakato wa kuunda Satelaiti yake
Tanzania kujenga satelaiti yake
Nape Nnauye: Tanzania kuwa na...
Kwanini Riba ya mikopo ya mabenki ni kubwa kuliko anachopata mtumishi mfano unaeza kopa mil 6, take home mil 5.31 alafu marejesho inakua mil 9 hii imekaaje wakuu? Tuwasaidie Gen Zee
Niulize nini faida ya kufanya kazi serikalini, kama ualimu na daktari?
Kuna mwana ni mwalimu ajira mpya mwaka jana anatamani kuacha kazi mazima ila pa kuanzia sasa ndo haelewi. Anaomba ushauri sababu haoni challenge yoyote ya maisha ikiwa hamna marupurupu na take home ni finyu kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.