Recent content by THE LEARNED COUNSEL

  1. T

    Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

    nahc tatzo la ajiralitakuwa limekuathiri pia.
  2. T

    Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    yes anatafuta kiki hna jipya , nape anamfunika tu, ndo maana story yake imebeba headline media zote
  3. T

    Magufuli na Makonda watawaweza 'watoto wa mjini'?

    huyo ma huyo makonda almevikuta mjini sasa akaviendea pupa vimemtokea puani, aache watoto wa mjini waendelee
  4. T

    Madhara makubwa ya kumtisha Rais wa Nchi!

    kama hujui sheria usizungumzie mambo ya kisheria, raisi anaweza kuondolowa madarakan na bunge, soma ibara ya 46A ya katiba
  5. T

    Ipi ni kauli ya Serikali, ya Waziri Nape au ya Rais Magufuli?

    clouds pia wakome, waache unafiki. kwanza muda mwingi nawafuatilia wako biased sana, kama kuna habar iko kwa gazet kinyume na serikali either hawaisomi au wanasoma title tu. walijifanya kuwa ndo TBC ccm haina rafiki acha wakome na iwe fundisho. pia nashangaa wanamtoa mkulu katka hili swala et...
  6. T

    Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

    makonda mwenyewe angekuwa anaonewa angefungua kesi ya defamation lakini katulia coz anajua labda kinachosemwa kina ukweli kiasi flan nyie ndomnashupaa
  7. T

    Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

    i if you want the registrar take an action against gwajima its simple tell makonda to prove his innocence
  8. T

    Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

    which law are you referring to?
  9. T

    Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

    iam sure polisi wanafahamu kitendo cha kumkamata gwajima ni kumdhoofisha makonda maana gwajima akifika mahakamani ata mwaga kila kitu na mahakaman hakuna siri, huyo makonda ataitwa na ataulizwa maswali yatamshinda
  10. T

    Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

    hakuna sheria inayoweza kuchukuliwa dhidi ya mtu anaye sema ukweli, hata huo uchochezi hauwezi kuwa uchochezi kama mtu atathibitisha kuwa anachoongea ni cha kweli, polisi wanajua hilo pia wamechoka na kesi zinazoishia kuwapa umaarufu watu na kuwaacha wao na aibu
  11. T

    Polepole vs Nape Nnauye: Nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM

    tatizo nahisi polepole ameshindwa kuendana na mambo huko ndan so kaamua bora liende. polepole tunaye mjua kilasiku angekuwa kwa media ktk vipindi mbalimbali, there must be sometthing wrong
  12. T

    Rais wa Zanzibar, Dr. Shein: Mkitaka kuzima umeme zimeni, tutawasha vibatari

    that cannot be done unless otherwise the political wind will change the direction dramastically
  13. T

    Rais wa Zanzibar, Dr. Shein: Mkitaka kuzima umeme zimeni, tutawasha vibatari

    it is unbecoming for leaders to show their dirty linen in public
  14. T

    Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

    Nahisi kama lema asingekuwa hivyo alivyo ccm wangeshachukua hilo jimbo kitambo, na kama mbinu ya ccm ni kumuweka ndan lema its a grave mistake since they are making him more popular,
Back
Top Bottom