Hivi mnakumbuka alichofanyiwa Kubenea ofisini kwake?

BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,720
3,481
Wana bodi:

Mnakumbuka yaliyomkuta kubenea yakumwagiwa tindikali?

Je vyombo vya habari vililiongeleaje lile tukio?
Je waliungana na kuwa kitu kimoja kama wanavyofanya Sasa?

Je kuna waziri yeyote alieunda tume yakulichunguza lile tukio?
Na je matokeo ya uchunguzi yalikuwaje?

Je kuna mwana ccm yeyote aliyeonyesha kuumia kama ilivyo Sasa?

Je kituo cha haki za binaadam walichukua hatua gani?

Hakuna vita ngum duniani kama vita ya madawa ya kulevya .

MAGUFULI KAZA BABA NA ATAKAE INGIA ANGA ZAKO FANYA KAMA HUMJUI KABISA KWAKUMSHUGHULIKIA IPASAVYO.
 
Wabongo hawakumbukagi
Kama unataka kujua hawakumbukagi

Wauli ni tukio gani lilikuwa moto kabla ya hili la makonda?
Sina shaka wengi weshasahau.

Namshauri Magufili akaze hadi waisome namba.
[HASHTAG]#Madawa[/HASHTAG] ya kulevya hayana nafasi.
 
Yaani wakishajiita wapinzani basi wanapinga tuuu halafu wanachokipinga hawakijui
 
amemshindwa mwanae Makonda/Bashite
Hao wengine atawaanzaje..!?
Wakati inaonekana kabisa ubovu wake unajidhihirisha sasa.
Kichwa panz cjui kaandika nini? Hebu nenda fb tadadhali huku ni kwa ma GT only.
 
Wana bodi:

Mnakumbuka yaliyomkuta kubenea yakumwagiwa tindikali?

Je vyombo vya habari vililiongeleaje lile tukio?
Je waliungana na kuwa kitu kimoja kama wanavyofanya Sasa?

Je kuna waziri yeyote alieunda tume yakulichunguza lile tukio?
Na je matokeo ya uchunguzi yalikuwaje?

Je kuna mwana ccm yeyote aliyeonyesha kuumia kama ilivyo Sasa?

Je kituo cha haki za binaadam walichukua hatua gani?

Hakuna vita ngum duniani kama vita ya madawa ya kulevya .

MAGUFULI KAZA BABA NA ATAKAE INGIA ANGA ZAKO FANYA KAMA HUMJUI KABISA KWAKUMSHUGHULIKIA IPASAVYO.
mdanganye sasa
 
Wewe ni lofa wa mafikara. Ya Kubenea was an official system operation. Hii ni ya vipofu wawili ambao elimu zao zina mashaka wote japo kila mmoja kwa level yake
 
Wana bodi:

Mnakumbuka yaliyomkuta kubenea yakumwagiwa tindikali?

Je vyombo vya habari vililiongeleaje lile tukio?
Je waliungana na kuwa kitu kimoja kama wanavyofanya Sasa?

Je kuna waziri yeyote alieunda tume yakulichunguza lile tukio?
Na je matokeo ya uchunguzi yalikuwaje?

Je kuna mwana ccm yeyote aliyeonyesha kuumia kama ilivyo Sasa?

Je kituo cha haki za binaadam walichukua hatua gani?

Hakuna vita ngum duniani kama vita ya madawa ya kulevya .

MAGUFULI KAZA BABA NA ATAKAE INGIA ANGA ZAKO FANYA KAMA HUMJUI KABISA KWAKUMSHUGHULIKIA IPASAVYO.

cafb7c7f5a7f88c7d850d17c7f6ffd1c.jpg
 
tatizo mnataka kutumia ishu ya madawa kama kichaka cha kuficha upumbavu wote.
Kwahiyo na kwenda clouds na jeshi plus silaha tusiongee kwakuwa ni mpigania madawa????
 
NYIE

MAGUFULI KAZA BABA NA ATAKAE INGIA ANGA ZAKO FANYA KAMA HUMJUI KABISA KWAKUMSHUGHULIKIA IPASAVYO.[/QUOT nyie mmekatazwa na baba yenu msiingie kwenye mitandao ya kijamii eti kuna udaku, sasa bado mnasubiri nini humu? maoni yenu mkaandkie kwenye karatasi mtuletee tusome
 
Wana bodi:

Mnakumbuka yaliyomkuta kubenea yakumwagiwa tindikali?

Je vyombo vya habari vililiongeleaje lile tukio?
Je waliungana na kuwa kitu kimoja kama wanavyofanya Sasa?

Je kuna waziri yeyote alieunda tume yakulichunguza lile tukio?
Na je matokeo ya uchunguzi yalikuwaje?

Je kuna mwana ccm yeyote aliyeonyesha kuumia kama ilivyo Sasa?

Je kituo cha haki za binaadam walichukua hatua gani?

Hakuna vita ngum duniani kama vita ya madawa ya kulevya .

MAGUFULI KAZA BABA NA ATAKAE INGIA ANGA ZAKO FANYA KAMA HUMJUI KABISA KWAKUMSHUGHULIKIA IPASAVYO.
Alivamiwa na Mkuu wa Mkoa na bunduki za Makirikiri , siku atavamia Radio na kutangaza yale ya RTLMC tuuuwane huyu
 
Wana bodi:

Mnakumbuka yaliyomkuta kubenea yakumwagiwa tindikali?

Je vyombo vya habari vililiongeleaje lile tukio?
Je waliungana na kuwa kitu kimoja kama wanavyofanya Sasa?

Je kuna waziri yeyote alieunda tume yakulichunguza lile tukio?
Na je matokeo ya uchunguzi yalikuwaje?

Je kuna mwana ccm yeyote aliyeonyesha kuumia kama ilivyo Sasa?

Je kituo cha haki za binaadam walichukua hatua gani?

Hakuna vita ngum duniani kama vita ya madawa ya kulevya .

MAGUFULI KAZA BABA NA ATAKAE INGIA ANGA ZAKO FANYA KAMA HUMJUI KABISA KWAKUMSHUGHULIKIA IPASAVYO.
Natamani nikujibu kila event moja moja,

Ila kwa kifupi sana itachukua makala ndefu sana kuelewa kwa uelewa wako.

Tuje katika hali halisi ni hivi serikali yetu ina vipaumbele kama serikali, chama na nchi.

Kuhusu makonda kwa wenye uelewa suala la kwenda pale clouds jinsi alivyokwenda na mazingira ya bunduki etc ni Makosa.

Na halipaswi kuungwa mkono

Ova.
 
kwani kuna ugumu au uzito gani wa kiweka vyeti, mibashite ipo kibao tu humu jf, weka vyeti maishavyasonge ndio watz tunataka, madawa ya kulevya hata sie tunapiga vita na keshateuliwa mtu atakadeal na hiyo kazi, mkiambiwa mtu hafai mnakimbilia madawa ya kulevya, watz mil 50 wote ni wala au wauza ngada, kama ni hivyo wale waliofukuzwa, waliofungwa kisa kughushi vyeti warejeshwe makazini, waliotangulia mbele ya haki kama yule mama wa mbeya nurse aliyekuwa kabakiza siku 3 kustaafu akaja kuambiwa amegushi mama akafa kwa ajili ya msongo, keshatangulia mbele ya haki tutamkuta njia yetu sote, mliowafunga na kuwafukuza warudisheni makazini na bashite wenu aendelee na majukumu, tz ni yetu watz wote sio watz wengine iwe ni exceptional, tunajua anatumwa kudhalilisha watu, lakini kama wakifanya hivyo hutasikia watz kulalamika, kwa kufanya hivi wanakigawa chama, na mpasuko mkubwa utatokea hapo baadae, mna imani kuwa vijijini ndio mtapata watu mnajidanganya aisee, nimeshangaa kuona vijijini watu wana mwamko sana sasa yote yanayoendelea mijini wanajua na wanalaani
 
tatizo mnataka kutumia ishu ya madawa kama kichaka cha kuficha upumbavu wote.
Kwahiyo na kwenda clouds na jeshi plus silaha tusiongee kwakuwa ni mpigania madawa????
si keshapewa sianga, yeye anaingilia ya nini
 
Acha kutufanya nyama wewe mleta mada, hadi Rais wa wkt huo alienda kumtembelea na wengine walichangia matibabu yake nje ya nchi . Sasa kama Rais alimtembelea unategemea wangapi waliguswa na tukio lake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom