Recent content by The Leader King

  1. The Leader King

    Wauza na Wanunuzi wa Viwanja, Nyumba, na Mashamba

    Ukiambiwa Kiwanja kimepimwa Kiwe na Approve ya Wizara Ardhi Kama Hivi na Sqm zinasoma sio Miguu au futi Hii angalau Una Uhakika halafu Bei zao pia Mil 2,8 TU Kwa Sqm 400
  2. The Leader King

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Chamazi

    Angalau Hawa Jamaa Nawaelewa wanna Approve ya Wizara KABISA Hapo Kwa Mil 2,8 Unapata Kiwanja na Uhakika Wa Hati Ya Wizara
  3. The Leader King

    Natafuta kiwanja cha milioni 4 Dar, nitapata wapi?

    Waone hao Jamaa Jamaa ni Uhakika
  4. The Leader King

    Dark days 17/03/20

    Inawezekana Upo Sahihi Kabisa Lakini Kwa Namna Yeyote Ile Nini Lengo Kuu La Mtoa Story? Kwa Maana Ikiwa Alimaanisha Ujasusi Ukijumlisha na Chuki Zetu za Kiasili Afrika. Unadhani Ni Chuki Kiasi Gani Itajengeka Katika Jamii Na Viongozi Wetu. Mfano Kuna Kitu Kilikua Kinaendelea Twitter Kipindi...
  5. The Leader King

    Je sifa kuu ya Mungu ni UPWEKE ?

    Ulivyowagawanya Washakuwa Wengi Tushapata Jibu Wewe Unakanusha Kwamba Sio Mungu Mmoja. Na Aje Mwingine Tunasubiri[emoji17]
  6. The Leader King

    Je sifa kuu ya Mungu ni UPWEKE ?

    Naona Moto na Pepo Unataka Kututoa Kwenye Mada Bado Hakuna Aliyethibitisha Au Kukanusha Upweke Wa Mungu Mthibitishieni Hata Kama Ni Dhana Au Mkanushieni
  7. The Leader King

    LGTI Dodoma mnawasumbua Watanzania

    [emoji24][emoji24][emoji24]
  8. The Leader King

    Dark days 17/03/20

    Waafrika Tuna Roho Zetu Flani Hivi[emoji845]
  9. The Leader King

    Dark days 17/03/20

    Angalizo ! Tumekuwa Makini Sana Kufatilia Hii Story Ambayo Mwenye Stori Yake Ametuhakikishia Haihusiani na Uhalisia Wowote . Lakini Umakini Wetu Katika Kufatilia Na Comment Zetu Zinaonyesha Kuna Mahusiano Na Uhalis!ia Flani Ambao Tunaujua Aidha Kwa Dhana Au Kwa Minong'ono. Katika Mazingira Ya...
  10. The Leader King

    Naomba ufafanuzi wa Dhana ya namba 786

    Hii 786 Kwanini Iwe Bismillah Rrahmani Rrahiym Nichambulie Tafadhali
  11. The Leader King

    Naomba ufafanuzi wa Dhana ya namba 786

    Ahsante [emoji120][emoji120][emoji120]
  12. The Leader King

    Dark days 17/03/20

    Kwamba Wamemfungia [emoji1][emoji1][emoji1]
  13. The Leader King

    Naomba ufafanuzi wa Dhana ya namba 786

    Habari Wana JF, Kuna Majengo Na Maeneo Mengi Hasa Yanayo nasibiana Na Wahindi Hasa Kwenye Milango Au Magari Huwa Kuna Namba Hasa Hii 786 Ipo Maeneo Mengi Sana Ningependa Kujua Inahisiana na Nini Namba Hii?
  14. The Leader King

    Plot4Sale Pata Kiwanja kwa Laki 6

    [emoji106][emoji106]
Back
Top Bottom