Chuma gani?. Uchaguzi iliyopita wairani walimchagua mgombea asiye wa msimamo mkali na kumpiga Chini mgombea mwenye msimamo mkali wa kiislamu anayeungwa mkono na Khamenei.
Mbona wewe ndio inakutesa. Nikikumbuka ulivyokuwa unashangilia wapinzani kuumizwa na huyo mpumbavu. Leo unajifanya kujiongelesha kinafiki. Yule mtu alikuwa muovu Bora alikufa kifo Cha aibu.
Acha uongo, Kenya Wana majanga gani?. Kenya IGP Masengeli alihukumiwa miezi SITA jela kwa kudharau mahakama mpaka alipoomba radhi ndipo mahakama ikampa pardon. Sio huku mtu anatekwa mchana na kuuawa ila IGP wala hasumbuki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.