Nasafisha duka langu, kuna mzigo umebaki wa silk blouse grade A nauza zote kwa bei ya jumla ya 1500, wahi kabla hazijaisha.
Location ni Bunju A Dar es Salaam
Call 0684 848801
NOTE: Hiyo ni bei ya jumla kwanzia PC 50.
OFFER KUBWA YA PHOTOCOPY MACHINES
Ndugu zangu changamkieni offer hii mapema hasa kwa wale wenye stationary au
wanaotaka kuanzisha biashara hio...hizi machine ni nzima zilikuwa kwenye office mahali, hiyo office imefungwa kwasasa kutokana na kukosa usimamizi wa uhakika.
Machine zipo Dar es...
Nauza kiwanja changu mwenyewe kilichopimwa kabisa
Kina Hati.
Ukubwa ni SQM 1900
Kipo Kigamboni- Dege.
Bei ni 45M
Negotiations zipo
Contact; 0684 84 88 01
KWA MADALALI MLIOPO KIGAMBONI UKIWA NA MTEJA 10% YAKO IPO.
NA KWA MTU YOYOTE MWENYE MDAU ANAYETAKA KIWANJA MAENEO HAYO NICHEK 10% YAKO IPO.
Aisee huyo ni GUARDIAN ANGEL, hutakiwi kumuogopa kabisa maana once mkianza kuishi pamoja kama familia, utawajua mpaka marafiki wanafiki ambao kwasasa wewe unahisi ni watu wako wa karibu sana kumbe sio.
Nasema hivi kwasababu mimi wife wangu ni wa aina hii, baada ya kuanza kuishi nae rasmi...
Hii TV imevunjika screen kwa bahati mbaya, sasa kwa yeyote ambaye anaweza kuichukua akabadilishe kioo karibuni nasikiliza offer zenu.
Call: 0684 848 801
Karibuni wadau
TV ipo Dar es Salaam, Tegeta.
Bei elekezi ni 120k tu.
Ni kweli mzigo uliopita nilifanya hivyo ila kwasasa zinazidi kuwa nyingi na sehemu niliyopo ni ndani ndani sana kwahiyo asilimia kubwa wateja wangu ni walewale wa mtaani kwangu
Hii inawafaa wale wasio na mtaji wa kununua balo zima.
Elfu 50 inatosha sana kwa kijana kuanza kupambana mtaani...
Karibuni sana nguo ni nzuri.
Usiogope kuhusu bei ni kwamba huwa nafungua mabalo mwenyewe na kuziuzia kwenye fremu sasa kuna baadhi inabidi zitoke ili mzigo mwingine upate nafasi.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.