Recent content by The Independent

  1. The Independent

    JamiiForums Tanzania Je M-wekeza ya vodacom wanazingatia formula ya compound interest ya kwenye topic ya sequence and series?

    Heri ya mwaka mpya wanafamilia ya jamii forum. Kwa wenye uzoefu na m-wekeza ya voda, mfano ukiwekeza let say Tsh. 10,000,000/= kwa miaka 10 kwa riba ya 13% kwa mwaka, je baada ya miaka 10 utaweza kupata kias cha Tsh. 33,945,673.899? Kama formula ya compound interest ilivyo? Au wao voda...
  2. The Independent

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi waliopata mkopo kwa awamu ya kwanza

    Tamazama majina hapa
  3. The Independent

    JamiiForums Tanzania NAFANYA APPLICATIONS ZA MKOPO 2019/2020

    Nkishakamilisha kujaza form ntakutumia kwa njia ya email au wasap then utaenda stationery utaiprint ili uanze kuijaza
  4. The Independent

    JamiiForums Tanzania NAFANYA APPLICATIONS ZA MKOPO 2019/2020

    Kama wewe ni mwanafunzi au una ndugu au jamaa anahitaji kufanya maombi ya mkopo karibu sana napatikana MKOLANI JIJINI MWANZA... Nafanya kwa wakazi wa Mwanza na nje ya Mwanza (mikoa yote Tanzania. Wasiliana nami kupitia 0768436170 au 0716156624
  5. The Independent

    JamiiForums Tanzania Mabadikiko ya format NECTA Form IV

    Check formati hapo kweny attachmet
  6. The Independent

    JamiiForums Tanzania Ni lini tcu wataruhusu tuanze kufanya application za vyuo vikuu 2019/2020

    Almanac yao inaonesha kwa form six waliomaliza mwaka huu wataanza application tar 15/7 so wanategemea kufka hyo tareh matokeo yatakuwa tayar.
  7. The Independent

    JamiiForums Tanzania Kwa form six walio chaguliwa JKT 2019 majina haya hapa

    Fungua hyo attachment
  8. The Independent

    JamiiForums Tanzania Kwa form six walio chaguliwa JKT 2019 majina haya hapa

    Majina ya kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga JKT MPWAPWA
  9. The Independent

    JamiiForums Tanzania Kwa form six walio chaguliwa JKT 2019 majina haya hapa

    KAMBI ZOTE HIZI HAPA
  10. The Independent

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ma T.O's wengi Form 6 huwa ni PCM??

    Sio kweli mwaka jana altoka PCM Tabora Boys
  11. The Independent

    JamiiForums Tanzania Nimeomba Second Round nimerudi kwenye profile yangu nimekuta hivi

    Dogo huwezi kufanya lolote tena kwenye profile yako mana tayari umesha chaguliwa so we subiri tu chuo ulicho pangiwa
  12. The Independent

    JamiiForums Tanzania TCU selections first round Kampala International University

    Kwa waliochaguliwa Kampala International University (KIU) awamu ya kwanza majina haya hapa
  13. The Independent

    JamiiForums Tanzania Tarehe 5 Imepita, NACTE Mbona mpo kimya tena tuwaeleweje??

    Ingia kwenye sehem ya kulogin (NOAS) utaona kwenye profile lako kama utakuwa umechaguliwa uutaona kuna maelezo ya kukwambia kuwa umechaguliwa course moja wapo kati ya vyuo ulivyoomba na utaambiwa usubiri chuo chako kiconfirm kuna baadhi ya vyuo vinawapigia simu wanafunzi kuuliza kama utalipot au...
  14. The Independent

    JamiiForums Tanzania Hapa nimeshakosa UDSM, naweza kupata UDOM?

    UDOM saivi hakuna admission ya MD
Back
Top Bottom