Recent content by The Hebrew

  1. The Hebrew

    Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

    Watanzania tumejaa ujamaa mpaka kwenye mambo ya msingi yenye kuhitaji maamuzi ni ujamaa tu. Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
  2. The Hebrew

    BRELA huduma kwa wateja pokeeni simu za wateja

    Hili bado ni tatizo kubwa mpaka leo October 2023, ni wiki nzima imekwisha bila majibu yao na simu hazipokelewi. Usajili wa majina ya biashara unamaliza wiki na malipo yashafanyika sasa sijui kamouni usajili utachukua muda gani. Afrika tunasafari ndefu sana, pamoja na kupewa mshahara bado mtu...
  3. The Hebrew

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Poleni sana Mkuu. Mungu ampe uzima na afya tena. Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
  4. The Hebrew

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Thanks broda. Usisahau kuna mchele 10kg kutoka kwa mdau. Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
  5. The Hebrew

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hongera Kaka. Zawadi ni zawadi, sikumbuki lini niliona Jamii forums kuna mtu anapewa zawadi sababu ya Uzi alioanzisha. Heko INSIDER MAN umefanya kazi kubwa sana. Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
  6. The Hebrew

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
  7. The Hebrew

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    18:10 Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
  8. The Hebrew

    Hivi Mademu kama Hawa Wapo Kwel ama ni Ndoto Zangu tu🥱

    Shida hapo ni ugonjwa wa akili. Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
  9. The Hebrew

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Huyu anasema haya sababu hana mume, wanawake kama hawana mume wanahangaika sana. Labda kumsaidia ongea naye achukue nafasi ya Presca maana najua ataachika soon. Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
  10. The Hebrew

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hadithi unayoisoma kwa dakika 10, kuna mtu ameiishi kwa mwaka mzima miaka 6, wakati flani mtu hapati uhalisia wa matukio na ugumu mtu anaopitia Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
  11. The Hebrew

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mgonjwa huyo wacha apate tiba, alikula bila kunawa. Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
  12. The Hebrew

    Ni wimbo upi wa Westlife, Celine Dion, Hauston ama Michael Jackson unaoupenda zaidi na kwa nini?

    1. When you believe by Whitney Houston 2. Puzzle of my heart by West Life 3. On my own by Whitney Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
  13. The Hebrew

    Usiingie mahusiano na asiye na uvungu mguuni, Utajuta

    Hongera kwa utafiti Mkuu. Ungeendelea kutupa data za utafiti wako, kwani uliwafikia machizi/ Wehu wangapi mpaka ukatamatisha utafiti kwa namna hii. Na je, wale wote ambao hawana uvungu maana yake hawana ndugu wenye hizo shida ya akili? [emoji848] Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums...
  14. The Hebrew

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hahahahaha Mwamedi bwana. Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
  15. The Hebrew

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mapenzi kwa wafanyakazi yanaweza kuathiri kazi. Si kila kitu unachukulia personal, mambo mengine mtu anawaza kazi zake zitakuwaje, kama akina Sumaiya wanamzunguka kazini wakiungana na Insider itakuwaje, hata pata hasara zaidi?? Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom