Utalii gani ulikuzwa kanda ya ziwa wakati watalii wa serengeti wanashukia KIA??? Awamu zote za uongozi mpaka kwa Kikwete plus mother wameipendelea kaskazini ukiacha kanda ya pwani.
Unaongea kwa ushabiki au? Unasemaje kaskazini hakuna uwekezaji wakati tunaona serikali imewekeza sana kwenye utalii pamoja mambo mengine. Mfano makao ya east Africa Arusha, ujenzi wa uwanja wa mpira mpya zote ni juhudi na uwekezaji wa serikali na vina impact kubwa kwenye kuinua uchumi wa kaskazini
Niliacha kubisha na wapiga makelele wahaya hatujawahi kukwama. Nimejaribu kufupisha hiyo video jitahidi uangalie mpaka mwisho alafu jitahidi utembee upunguze ushamba.
Watanzania roho mbaya kila sehemu yaani kitu kama hakijafanyika kwake anaona ni kibaya. Nina imani mtoa mada hajui usumbufu na upotevu wa muda uliopo pale, mbaya zaidi ni pamoja na wagonjwa mahututi wa rufaa kwenda bugando.
Wakati mwingine jaribu kutumia akiri kidogo, slums na ardhi kutokupimwa havina uhusiano. Mfano mikoa ya Kilimanjaro na Kagera watu wanajenga kwenye mashamba ya ukoo huko vijijini, sio rahisi mtu kupima hayo maeneo.
Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara.
Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.