Recent content by The Great Engineer

  1. T

    Endesha Biashara yako bila kuumiza kichwa kwa kutumia programu hii

    Mkuu sijakulazimisha uutumie wa kwangu sawa? Wewe kama unamwingine uliouzoe tumia tu ila kaa ukijua ukipendacho wewe sio kila mtu anakipenda, wapo wengi waliousia huu mfumo nilioutengeneza na kuupenda na upo wewe ambaye hata kuuona unavyofanya kazi haujauona lakini inaonekana unafitina za kufa...
  2. T

    Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

    Unaweza kucheck brand kama za sony, lg na sanyo kwa 1000watts, ziko poa na zinakohoa sio mchezo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    Endesha Biashara yako bila kuumiza kichwa kwa kutumia programu hii

    Bei ya offer ni elfu 50 tu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    Endesha Biashara yako bila kuumiza kichwa kwa kutumia programu hii

    Karibu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    Endesha Biashara yako bila kuumiza kichwa kwa kutumia programu hii

    Endesha Biashara yako bila kuumiza kichwa kwenye maswala ya mahesabu kwa programu hii iliyotengenezwa kwa lugha yetu ya KISWAHILI. Programu hii ni mahususi kwa biashara yoyote ambayo muuzaji au mmiliki wa biashara unaweza kununua na kuuza bidhaa. Kwa mfano maduka ya vifaa vya ujenzi, maduka ya...
  6. T

    NAFASI ZA KAZI KWA WATAALAM WA IT

    Hakuna hata posho mkuu?
  7. T

    Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

    unajua nini mkuu.. utakuta mtu anaongea kitu ambacho hana utaalamu nacho na ndo tulivyo wabongo, huyo jamaa niliyemjibu hivyo yeye kaandika eti floating switch sh 25000 sasa hiyo floatingi switches anajua mechanism zake zilivyotengenezwa au anafurahia tu inavyofanya kazi? pia anajua ubora wake...
  8. T

    Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

    Ahsante mkuu... vifaa viko poa na replacement ya vifaa ni kawaida ikitokea vimeoata hitilafu kwani kama tunavyojua hivyo ni vifaa vya kielektronik kwahiyo sio kwamba vinaweza kudumu milele ni sawa na watu wanamiliki simu ya hadi million 1 lakini inaweza ikatokea bahati mbaya ikapigwa shot na...
  9. T

    Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

    sawa mkuu sio lazima kununua na sio lazima ku-comment upuuzi kama huo kama unaona float switch inafaa basi endelea kutumia waache wanaotaka kutumia hii system sijakulazimisha uitumie hii system yangu endelea kufaidi vya wazungu mkuu. Sent from my itel it1702 using JamiiForums mobile app
  10. T

    Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

    shukrani mkuu Sent from my itel it1702 using JamiiForums mobile app
  11. T

    Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

    sawa but ni system ya kizamani ndo maana tunazidi kuboresha kwa kuleta system zenye ubora zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. T

    Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

    ni kweli mkuu lakini tatizo la watanzania wengi hatutaki kuumiza vichwa na kama umefanikiwa kufika vyuo vikuu basi utakubaliana na Mimi yaani karibu wanafunzi wengi hasa wanaotakiwa kuwasilisha projects mwaka wa mwisho wanaona bora wafanyiwe na utakuta project ni ya kawaida sana lakini anaona...
  13. T

    Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

    mkuu nieleweke kuwa hii system ni kama switch inayojiendesha yenyewe kwamaana hiyo ni modification ya switch ambazo watu wanazicontrol pale maji yakiisha au yamejaa, Mimi ni Engineer wa mambo ya kielectroniki na ndiomaana nimeweza kuidesign hii system kuhusu sijui pump italindwa vipi hiyo ni...
  14. T

    Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

    tatizo la wabongo hauwezi kufikiri mtu anapata wapi vifaa, mda aliotumia sasa mchina anatengeneza vitu vya kudumu mkuu? labda uniambie mkuu unajua hivyo viboya viundwaje? maana usiwe unaongea tu wakati vitu hauna utaalam navyo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. T

    Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

    ni kweli mkuu na ndio watanzania wengi tulivyo na ndiomaana inchi haiendelei. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom