Dah, huyu mwanasheria uchwara nae si aende akapige kura huko arusha bwana. Au yawezekana ni mpango wa mungu ili Lisu akute amemaliza matatizo yake na Polisi jambo ambalo litamruhusu kkushiriki uchaguzi kama mgombea.
Vianaeleweka lakini havijawahi tekelezwa positively hata kwa dakika tano. Badala yake imekuwa nguvu mpya ya kupora rasilimali za uma, ari mpya ya kung'oa meno ya tembo na maisha duni kwa kila mtanzania kwa kupandisha bei za mafuta, umeme nk.
Umesema kweli, lakini kumuunga mkono mtu anaecheka cheka na majangili mi hapo utanisamehe mkuu. Kikwete hana dhamila ya dhati hata kidogo. Siwezi kumuunga mkono.
Hoja anayo mkuu. Lengo hapa si yeye kuteuliwa, ila anajaribu kuonyesha weaknesses zilizopo katika uteuzi kwa kujaribu kuangalia kila kundi. Ndiyo maana akajaribu kuangalia malengo yanayofanana kati ya bulembo na mtatiro n.k.
Dadaangu Shonza, unafahamu kabisa wewe ni msomi, na kwamba watu wanakupima kwa hoja n analysis zako. INAMAANA HUJUI KAMA SOMBETINI ILIKUWA KATA YA CCM? Na kwamba CCM ndiyo iliizidi CHADEMA kwa kura hizo ulizosema?
Na je, sombetini kuchukuliwa na CHADEMA, huoni pia ni kwa sababu watu wamewachoka...
Kumbuka SOMBETINI ilikuwa kata ya CCM. Lakini leo tunavyoongea ni ya CHADEMA kwa kura takribani 500 hivi tofauti. Hii inamaanisha hata wale walioipigia kura ccm awali wameghaili safari hii. Hivyo swali la msingi ni kwa nini wameichoka ccm? Na je kupoteza kata muhimu(kimaamuzi katika vikao vya...
Ni wazo zuri sana mkuu. Nakubali pia chadema kutofanya vizuri kama tulivyotegemea wengi. Wakati chadema wakifanya tathimini pia tuangalie ni kwa kiwango gani wamefeli au wamefaulu katika uchaguzi huu. Kwa upande mwingine ni lazima pia tukubali kwamba, ukilinganisha kura walizopata chadema katika...
Kata ya sombetini ilikuwa ya CCM, na hapo ndipo palkuwa na unyeti wake. Halafu pia ni ushindi katkika maamuzi ya vikao vya halmashauri ya jiji la arusha. Sasa ni wazi kuwa maamuzi yote yatabeba interests za chadema. Meya wa arusha sasa hana impact tena.
Kweli ni raisi. Lakini shughuli za uraisi ni tofauti na za kichama. Ndege ya serikari inahudumiwa na wananchi wote wa vyama vyote kupitia kodi mbali mbali. Hivyo kuitumia kwa shughuli za kikundi fulani tu ni kuwakosea wale wengine ambao hawahusiki na kikundi hicho. Yampasa atumie mali ya chama...
Hivi walimu mnamatatizo gani? CCM hiyohiyo ndiyo haiwajali mpaka mnaapa kuangamiza taifa letu kwa kutofanya kazi vizuri muwapo mashuleni kwenu. Hili limejihilisha wazi kwenye matokeo ya mwaka huu. Sasa tuwaeleweje mnapofanya haya? Ni shinikizo ama kujipendekeza kwa mwalimu mkuu bwana Emmanueli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.