Mimi natafuta wimbo ufuatao nitapata wapi CD yake?
Unaitwa, Yule mtu Msamalia.
Baadhi ya maneo take kwenye kiitikio
" watuwale, kumi, walitakasika.
Mmojawao aliendaa kujionyesha kwa makuhani, lakini wake jenda hawakurudi.
Wimbo ni wa Kwanya la kanisa LA uinjilisti Mbalizi Mbeya. Uliimbwa kama...
CDM inamtizamo wake na inatenda inavyo ona sawa na wewe, wakati wa jiwe kwakuwa ulikuwa unapatiwa damu za watu alio waua na kuwakandamiza hukuonekana kuumia mana udhalimu uliokuwa unafanyika ni furaha kwako.
CDM wakati huo walikuwa wanaumia, kama we we unavyo umia na amani na haki iliyopo sasa.
Lile zimwi kisha ondolewa na Mungu, usipende kupingana na Mungu.
Mungu alisha liona litamaliza watu wenye haki ili litimize mapenzi ya shetani juu ya watanzania, akapitisha uamuzi sahihi tarehe 17 march, tukapata ukombozi wetu toka mikononi mwa shetani, mana hata mkoloni alikuwa afadhali
Kama, alihusika katika hayo maiaji, basi taifa inabidi limpe tuzo na tumjengee sanamu katikati ya nchi kama shukurani kutukomboa toka mikono dhalimu ya yule nduli.
Hapana, dhambi kubwa ni kumchekea na kumpongeza mwenda zake kabla na hata baada ya uchaguzi wa 2020 huku tunaona anakiuka haki za watu wenye ufahamu wengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.