CHADEMA Kufungua kesi Mahakamani kupinga Jeshi la Polisi ‘kumteka’ Twaha Mwaipaya

1.Polisi wafuate PGO
2.kama huyo dogo ana tuhuma apelekwe mahakani haraka
 
Naona Asali Haijawafikia BAVICHA maana M/kiti ni kama haoni yanayoendelea kwenye Chama chake CHADEMA kwa sasa.
Huyo mwenyekiti asipokuwa mwangalifu atakuta ndiye anatumika kuiua CHADEMA kirahisi sana, kuliko ilivyowahi kutokea siku za nyuma.
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Wangejua kuwashikilia hao Ndo wanawaongezea umaarufu na kuwatengenezea daraja na Hoja wangewaacha tu wanedelee kutafuta Ugali
 
Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika ameelekeza Wanasheria wa Chadema , kufungua kesi Mahakamani ili kupinga Jeshi la Polisi kumteka na kumpeleka kusikojulikana Mwanasiasa kijana Twaha Mwaipaya .

Mwaipaya ambaye pia ni Katibu mwenezi wa Taasisi bora ya vijana barani Africa inayoitwa BAVICHA , alitekwa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro kwa tuhuma za uongo zinazodaiwa kuwa kosa la mtandaoni , Kwa tafsiri ya kisheria kumkamata mtu na kuzuia kutaja kituo alichohifadhiwa , huku masaa 48 yakipita bila kumfikisha mahakamani ni sawa na KUMTEKA NA KUMPELEKA KUSIKOJULIKANA .

Kesi hiyo Kabambe ambayo Mshitakiwa namba 1 ni IGP Simon Sirro na RPC wa Morogoro , inamjumuisha pia Mwanasheria Mkuu wa serikali , inatarajiwa kufunguliwa Jumatatu hii .

Mungu ibariki Chadema
 
Kwani si mlisema mtekaji ameshatangulia mbele ya haki?au ni mimi ndo sikuwaelewa?
 
Ngoja akomeshe mjinga sana yule alishangilia kifo cha shujaa WA Afrika laana inawatafuna Hawa misukule wa Mbowe
 
Acheni kuwatetea vijana wakorofi kama Twaha Mwaipaya. Huyu muacheni akakabiliane na mashtaka yake

Alipoleta taharuki kwa watu kwamba Umeme umepanda bei na na kusambaza picture za kizushi kua Ng'ombe zimepigwa risasi na Police hamkuona kwamba ni kosa, Mbona hamkusema au lile mliona sawa kwenu,
Nyinyi huu upinzani wenu umekua wa kipuuzi Sana kwa kweli
Niko Chatomobutu ...you should rethink....
 
Lakini cha kufurahisha ni kwamba hatujawahi kuwa watekaji
Mkuu
Nimetafakari Sana
katekwa kimkakati huyo jamaa!!
HUYO ni Right hand Man wa Mwamba
Anaandaliwa kuwa mwamba kupitia chama kingine!!

Ni Mwenye Siri. NZITO ya yanayoendelea Ili yasivuje KABLA ya WAKATI!!!
Atakuwa safe mahali salama wala unywele wake hautodhurika!!
Anaandaliwa na huko anapata mafunzo FULANI ya hicho kinachoandaliwa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom