Recent content by The Giant

  1. The Giant

    Msaada wakuu kuhusu PayPal

    Kama jamaa alivyokujibu hapo juu, ni financial regulations za Tz ndo shida kwenye issue ya kupokea fedha kutoka nje. Natumia Paypal since 2010, sijawahi pokea fedha toka nje, zaidi ya kutuma tu. Ni Skrill tu nimetumia peke yake kupokea. Kindly check below response from Paypal Team on receiving...
  2. The Giant

    Natafuta mtaalamu wa valuation ya Nyumba

    Ni Nsalaga, Uyole Mbeya.
  3. The Giant

    Natafuta mtaalamu wa valuation ya Nyumba

    Nyumba ipo Mbeya, yeye yupo wapi?
  4. The Giant

    Natafuta mtaalamu wa valuation ya Nyumba

    Asante Mkuu. Tumekomaa nayo kwa miaka 18 isiuzwe. Kuna mali zingine ziliuzwa na baadhi ya ndugu bila sisi kunufaika, ni nyumba tu iliyokuwa imebaki(nayo walitaka waiuze). Tumeitunza, imetusaidia kma sisi kusoma, na wenyewe madogo pia. Sasa saizi madogo washakuwa wakubwa na wenyewe ndo wanataka...
  5. The Giant

    Natafuta mtaalamu wa valuation ya Nyumba

    Post deleted
  6. The Giant

    Kupitia Mkataba wa Biashara

    Post deleted
  7. The Giant

    Jinsi ya Kupata Land-line Number

    Nimeenda, wana simu zao. Simu ni 55,000 pamoja na installation.
  8. The Giant

    Jinsi ya Kupata Land-line Number

    Wakubwa Kwema? Nawezaje kupata hii Land-line number pamoja na simu yake? Nahitaji pia iwe ina uwezo wa kufoward calls kwenye namba ya simu ya mkononi.
  9. The Giant

    Infinix Note 5 kwa 375,000/-

    Dah, nilishasahau. 0719500908
  10. The Giant

    Infinix Note 5 kwa 375,000/-

    Post deleted
  11. The Giant

    Single Ladies' Evening - Benjamin Tower

    Dah!!!! Anyway, nshaedit lakini.
  12. The Giant

    Single Ladies' Evening - Benjamin Tower

    Post deleted
  13. The Giant

    Natafuta Driving School yenye Gharama Nafuu

    OK, wana program kwa ajili ya watu binafsi au za watu wa wikiendi?
Back
Top Bottom