Recent content by The Giant Nkole

  1. The Giant Nkole

    Hivi huyu polisi aliwezaje kujua kuwa Mbowe asingepata ubunge kama siyo ilipangwa?

    Acha porojo mzee, kulamba kwako Asali mjini hakumsaidii chochote Bibi kizee wa ulimakafu anaenyanyasika na ufedhuli wa masisiemu na kupigwa mbwembwe na ziara zao za uzinduzi wa vyoo, Mmetoka mbali, suala mmefika wapi?
  2. The Giant Nkole

    Nafikiri Tu: Kama si Wazanzibar siasa za Tanganyika zingekuwaje?

    Umepinduapindua, punguza kamba mkuu
  3. The Giant Nkole

    Nafikiri Tu: Kama si Wazanzibar siasa za Tanganyika zingekuwaje?

    Ali Hassan aliingia madarakani miaka ya mwishoni mwa 80? Mzee Acha fix kavukavu
  4. The Giant Nkole

    Nikiwa mdogo niliwahi kucheza draft na Jakaya Kikwete pale Magomeni bila kujua kuwa ni Waziri wa Fedha:Viongozi kuweni wanyenyekevu

    Waislamu mnapenda Sana kuwasifia Viongozi wa kiislamu hili ni Taifa moja jamani hebu acheni hizo CC Azarel
  5. The Giant Nkole

    Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

    Haikudhurumu❎ haikudhulumu✅
  6. The Giant Nkole

    Sasa ni Vita rasmi ya Sports Extra ya Clouds FM dhidi ya E-Sports ya EFM Usiku wa Saa 3 hadi Saa 5

    Aisee hiyo Avatar ondoa, unatuaibisha sisi wana wa Israel na threads zako za kishamba
  7. The Giant Nkole

    TAHADHARI: Wahafidhina wapo toka zamani, Kisa cha Abneli mwana wa Neri na Generali Yoabu

    Si "waparestina" ni "wa palestina" muandishi utakuwa wa kwetu kanda ya Ziwa si Bure, Hongera kwa Makala yako
  8. The Giant Nkole

    Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

    Aibu ya nini na hii ni Jamiiforums! Hili jukwaa huru, hao ambao wewe unaamini wanatia Aibu ni matokeo ya Taifa huru chini ya TANU
Back
Top Bottom