Recent content by The Genius

  1. The Genius

    Je, Israel itaweza kushambulia vinu vya nuclear Iran?

    Mkuu, leo tarehe 16/06/2025 bado unaamini kuwa Israeli haitaweza kuishambulia IRAN kwasababu hizo ulizozitoa? Bado unaamini Israeli wanawaza kama wewe?
  2. The Genius

    Je, Israel kwa sasa iko tayari kushambulia vituo vya ki Nuclear vya Iran?

    Bado unaamini hawateza kisa ndege za F15-16. Unadhani Israeli hakuandaa ndege zenye uwezo zaidi kama hizi za F-35?
  3. The Genius

    Je, Israel kwa sasa iko tayari kushambulia vituo vya ki Nuclear vya Iran?

    Mpaka saivi bado msimamo wako ndio huu?
  4. The Genius

    Iran imefanikiwa kuvuna taarifa nyingi za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel

    Iran mwenye taarifa za nyuklia za Israeli mpaka sasa ameshashambulia vinu vingapi vya nyuklia huko Israeli? Ameshaua viongozi wangapi wa Israel?
  5. The Genius

    Kwanini viongozi wa Iran wanauwawa na Israel

    Pengine hili ndio swali la msingi la kujiuliza, toka mwaka 2023 Israel imefanikiwa kuwauwa viongozi wa juu kabisa wa Iran kwa kasi kubwa na kwa ufanisi mkubwa sana, kila pigo la Israel limekuwa on target kwa ufanisi, nini hasa sababu ya hili kufanikiwa? Je ni kwamba Iran ni nyepesi kiasi hicho...
  6. The Genius

    DStv kuja na vifurushi maalum vyenye chaneli za mpira tu

    Mbona nasikia kampuni imeuzwa kwa canal?
  7. The Genius

    Asili ya jina la Soda ya 7up

    Mwanzoni wakati kampuni inaanzishwa kilitengenezwa kinywaji cha limao(lemon) mmiliki Charles Leiper Grigg akatoa kazi kuwa anatafuta jina la kipekee na linalo vutia macho ya watu kwaajili ya kinywaji hicho kipya cha limao(lemon). Wabunifu walitengeneza majina mengi, ila katika majina yote ni...
  8. The Genius

    Ufafanuzi kuhusu kasi ya ndege inapopaa

    Ufafanuzi mwepesi. Ndege inapokimbia kwenye barabara yake (#runway) kwaajili ya kupaa, kuna kasi tofauti ambazo Rubani msaidizi '#First_Officer au Rubani kiongozi #Captain anataja ili anayehusika kurusha ndege (Pilot in command) afahamu maamuzi aliyonayo katika mwendo husika. Ndege (hasa kubwa)...
  9. The Genius

    Zitambue Sifa/Tabia Kuu 10 za Mwanaume Wa Kihaya hapa Tanzania

    Wengi ndio madalali na matapeli wa kutuma zile SMS. Hii mbona hujaiweka?
  10. The Genius

    Police Jamii na Sungusungu wanatumia vibaya kituo kidogo cha Police Lift-Valley, Kimara Stop Over

    Wakuu salamu. Kuna kituo kidogo cha polisi kipo maeneo ya Kimara Stop over, mitaa ya Rift valley. Kituo hiki kimekuwa kama shamba la bibi kwa police jamii na sungusungu wa eneo lile. Kimekuwa kama ndio kijiwe chao cha kahawa. Muda wote ukienda hapo utakuja wamejazana huko ndani, wanapanga njia...
  11. The Genius

    Kwanini Palestina wasiungane na Israel kuangamiza Hamas?

    Wakuu salamu. Kwa utafiti wangu nimegundua kwamba Hamas ndio chanzo cha migogoro mingi kati ya Israel na Palestine kwa KIJISABABU kuwa ardhi ya Israel ni mali yao wapalestina. Wanaweza kuwa na hoja, lakini hoja hiyo kwasasa haina mashiko kwasababu kuna vizazi vipya vimeshazaliwa kwenye ardhi...
  12. The Genius

    Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

    Hujajibu swali kaka, WANAWAKE watapewa nini? Kuna ahadi gani kwa wanawake? Je, hawa wanaoishi hapa duniani wakifa wataenda kupata wanaume wengine au wataende kuwa kina nani?
  13. The Genius

    Je, Netanyau anataka kufanya Mauaji ya halaiki Ukanda wa Gaza, Palestina!?

    Umeanza siasa Sasa. Kama umeanza vita hakikisha una uwezo wa kuishinda. Sio ukianza kupigwa uje na vihoja eti ' root cause analysis '
Back
Top Bottom