sahivi na ignore tu, bora lawama halafu kitu kingine nilichokuja gundua watu hawajui kuwa sio wao pekee wanaoomba michango hiyo. Mwingine unamwambia saivi nimebanwa sitoweza shiriki lakini nakuuna mkono kwa hichi kidogo anaona kama unamkataa kumbe sio. Mwezi huu ofisini nimechangia hela kwa...
sasa huku mjini michango ni 100k , hamna hamna 70k , wife nishamwambia akitoa ahadi ya mchango wowote wa harusi bila kunishirikisha ajue atawajibika mwenyewe
hapa nilipo nina michango 7 ya harusi inanisubiri na ni mwezi wa 10 na 11, kuna mwingine jana kaniambia mwanae anamaliza la 7 anafanyiwa mahafali, katoa kama taarifa lkn nyuma ya pazia najua anataka nn.
Oppps ukubwa unakuja na mengi
Hii stori nahisi kuna sehemu nyingine uzi tofauti na huu nimeisoma.
Ingekuwa miaka ile nachek video za ajabu ingeandika "watched"
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kutongozwa ndiyo ni kawaida lkn inategemea na manzi alikua anareact positive au negative kwa hio mitongozo.
Haiwezekani ushajua mtu anakutaka akaomba miadi mkutane sehemu nawewe ukakubali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.