Nishati ni tabia ya vitu, inayoweza kusafirishwa kutoka kitu kimoja kwenda kingine kwa misingi ya mwingiliano, ambayo inaweza kubadilishwa na kuwa aina nyingine ya tabia zinazoshabihiana lakini haiwezi kuundwa au kuharibiwa.
Mi nafikiri bado ujawajua vizuri wasomi wa kitanzania, nchi hii imejaa mabingwa wa kukariri sio wasomi...wanapokwambia hapa tutawezaje bila kingereza wanamaanisha intavyuu za wazungu ndio mawazo yao yalipokimbilia kwamba tutawezaje intavyuu za mashirika ya wazungu ndio maana wanakwambia wakenya...
Katika vitu nilivyokuwa naomba kama mabadiriko katika elimu ya Tanzania ni kutumia Kiswahili kama elimu YA kufundishia. Pamoja na mapungufu Mengi ya serikali YA Jk, haya ni maono yaliyotukuka. Iweje usome kwa kiingereza uweze kuhusianisha na mazingira yanayokuzunguka wakati Huna msamiati huo...
Duh.Yataka moyo ati. Najaribu imagine kupeleka nusu ya mshahara halafu huyo mama tayari ana mume mwingine asiye na kazi. Yaani unapeleka hela kutunza mwanaume mwingine. inaumaje.....
Mkuu, kuna huduma nyingine unakuta wao ndo wameshikilia karibu sector nzima.. pia kuna mazingira unalazimika tu kuingia maeneo yao hata kama hutaki. Pamoja na hayo, ni vyema tukatafuta namna ya kupeleka ujumbe positively maana bado tunahitaji biashara ili uchumi wetu ukue....
Kuwaambia ni good idea....lakini tunaweza enda extra mile....make their business suffer. ..na hapo ndo watajifunza in a great way. Hivi hivi nadhani haya yataendelea milele....:mad:
Habari za Weekend Wakuu..
Kumekuwa na report mbalimbali za watanzania wenzetu wa asili ya kiafrika kubaguliwa sehemu mbali mbali kama mahoteli, migahawa, maduka na kadhalika. Mfano, una pesa yako, unaenda hotelini na huduma mpaka ubembeleze. Wakati huo huo akitokea mtu wa jamii nyingine...
My country is a very devastating place..You must learn to protect your emotions if you wish to prevent matters of corruption from devastating you!!:mad:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.