Recent content by The End..

  1. The End..

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mume miaka 40-70

    mimi nipo 72 vp nina vigezo..?
  2. The End..

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kipya umejaribu na mwanamke au mwanaume wako hivi karibuni?

    Ungekuwa mke wangu nakuapia ningefukuzwa kazi maana sio utoro ningeongesha
  3. The End..

    JamiiForums Tanzania Kutemea mate wakati wa tendo

    Ha!! Ha!! Ha!! Ha!! Ha!!
  4. The End..

    JamiiForums Tanzania Nimemuona mwizi mahali ninapoishi

    Mwite huyo jamaa mwambie arudishe unampa masaa 4 yakipita unaweka kila kitu hadharani
  5. The End..

    JamiiForums Tanzania Upendo wa Mama ni muhimu lakini Upendo wa Baba muhimu sana pia

    kwahiyo unataka kusemaje sasa....
  6. The End..

    JamiiForums Tanzania Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    huyo ni mshenzi tu.... wewe hukuwa na haja ya kumfanyia visa.... endelea tu na maisha yako ya kawaida usimfukuze wala usihame.... rudi nyumbani nenda kazini fanya kama unaishi na mdogo wako..... ishi kiume...
  7. The End..

    JamiiForums Tanzania Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

    jibu hili hapa sasa we jifanye shorokani yakukute
  8. The End..

    JamiiForums Tanzania Sawa Harmonize kakososea, ila mungu wako sio mungu wa Harmonize

    nimeandika halaf nikafuta naogopa nisije kumkosea mungu wangu.....
  9. The End..

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    we muoe tu mkishindwana si mnaachana kwani shida ipo wapi
  10. The End..

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane Quran

    yaan maisha bhana..... tupo bize kubishana kuhusu dini kuliko kumtafuta mungu... amin amin nawaambia kama huna upendo basi hata uwe na uwezo wa kuhamisha milima, wewe si kitu kwa mungu...
  11. The End..

    JamiiForums Tanzania CCM tumefika mwisho wa kufikiri, tuwape nchi Wapinzani

    acha ccm waendelee kutawala hii nchi..... sijaona wapinzani wenye uchungu na nchi hii...
  12. The End..

    JamiiForums Tanzania Kunywa maji ya Moto baada ya kufanya mazoezi

    huna hoja
  13. The End..

    JamiiForums Tanzania Mambo 4 yanayoangusha uongozi wa Rais Samia

    katika mambo tunayokosea sisi watanzania ni wepesi wa kulaumu na kukosoa kuliko kushauri na kupendekeza...
Back
Top Bottom