Recent content by the dree

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    HGL-ISIMILA iringa vjjn
  2. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha, Waandamana kwenda kwa Mkurugenzi ili waongezewe BVR Kits

    ilikuwa hivyo bunge la katiba watu wamegoma na wengine wakapiga hela na hatukuambia ile hela waliyotakiwa kulipwa imefanyiwa nn kwahy kusema wapinge hiyo hela ni kudanganya tu maana walio wengi na ndioooooo kiukweli ccm ni shidaaa kura yangu na wengine pamoja tufanye mabadiliko hata kama...
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    yeye alikuwa ndani ya hiyo hiyo serikali iliyoshindwa yote hayo.hana jipya
  4. T

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    sijaelewa anakosoa waliyokwisha Fanya au anaomba urahc akarekebisha makosa? mwekeni huyu iwe rahc kuloweka boflo kwa kikombe cha kahawa.Sera zake zinaonesha hakika ccm hawawezi tena kuongoza.hamuwezi kupewa nchi ili mkakomeshe kufanya kazi kwa mazoea wakati nyie ndo mnasimamia hayo mazoea
  5. T

    JamiiForums Tanzania CCM Mtarejeshaje Gharama Hizi?

    usipende sana kuamini habari za kupikwa mkuu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Afya la Lowassa na Ushauri wa Daktari Wake: Vyote Vyabainishwa!

    katika hao wengi na Edo yumoooo
  7. T

    JamiiForums Tanzania BVR yaingia Mkoa wa Kilimanjaro hususani Mwanga kimya kimya

    huo ni mtizamo wako tu.ila huku vyuoni kinachotolewa ni vitambulisho vya taifa.na kama hujui kwann wamegeukia vyuoni uliza uambiwe
  8. T

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Fomu zenye Utata Vyuo Vikuu Mbeya

    ni kweli mm mwenyewe hiyo form ninayo hapa.maelekezo tuliyopewa hicho kipengele hatutakiwi kukijaza maana mwanzoni walitaka zoezi lifanyikwe kwa pamoja ila ikagundulika hizi taasisi hazifungamani .
  9. T

    JamiiForums Tanzania Breaking news star city hotel sinza utafiti mpya unazinduliwa mdaa huu

    kila MTU ana akili na maamuzi binafsi kwa kadiri ya uelewa wake
  10. T

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Majina ya wagombea wa nafasi za uongozi Taifa ACT- Tanzania

    unawachukia wachaga nani anakupenda ww acha ufalla
  11. T

    JamiiForums Tanzania Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    kweli kila MTU anajifanya anayajua ya lowasa. kinachopingwa sana ndicho kitakachofaa
  12. T

    JamiiForums Tanzania ACT Tanzania ni kama CCJ, nampa Zitto wiki mbili tu!

    kuchukua nchi kwa sasa sahau kabisaaaaaa
  13. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa Kuhusu Mama Maria Nyerere si za Kweli

    duuuu?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kura za maoni wa Katiba Pendekezwa

    kweli hiki chama ni cha wachache wenye uwezo na kujenga njia safi ya kulindana.Ndani ya ccm hawapendi mfuata sheria.Wanajitaidi wawezavyo waweke zoobaa ambalo watalipeleka kifisadifisadi tu.Membe atakuwa chaguo la chama na. si chaguo la wananchi.naona urahc uleeeeee kwingine na si ccm. Mwaka...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Malecela amekitaka Chama cha Mapinduzi Kumchukulia hatua kali za kinidhamu Lowassa

    mzee na wewe umechoka zaidi hamjui mwelekeo wote.t-shir MI mwenyewe ninayo nimenunua kwa Pesa yangu Tsh 15000. na ni wengi nimeshuhidia wananunua.labda kama umepewa bure wewe na family yako.muda wote hukusema hafai Leo Ndo unafunguka.zaidi ya LOWASA ccm hakuna.kama si LOWASA awamu hii basi...
Back
Top Bottom