Recent content by The creator

  1. T

    Tulia Ackson ni nani, CV yake ipoje?

    UKAWA walizoea malezi ya babu na bibi wakawa wanavunja taratibu na kanuni za bunge wakiambiwa eti wakiwa watu wazima wataacha. Sasa wamekutana na baba na mama wanachapwa pale pale wanapokosea. Wanaona wanaonewa na kutamani kurudi kwa babu na bibi. Wazoee tu na wajifunze kufuata taratibu na...
  2. T

    Ushauri kwa Saed Kubenea kuhusu kiwanja chenye utata

    Kubenea hajajibu mashitaka yake. Shitaka kuu lilikuwa kusema uongo kwamba Mwinyi anajengewa nyumba kwenye hicho kiwanja sio kuwa na kiwanja.
  3. T

    Tamko la UKAWA baada ya Naibu Spika kutangaza kukata posho

    Mnadanganya wasiojua. Mbona walisaini na pesa walichota ndio wakatokomea kusikojulikana. Wanachogomea wa la hakieleweki. Walikuwa wanapigana vita waliyojua watashindwa. Why gofor a war while knowing you will be defeated?
Back
Top Bottom