vurugu zimekuwa zikitokea hasa katika mikoa ya Mtwara na Arusha. Na ni dhairi inajulikana kuwa vurugu hizi zinatokana na uchochezi wa kisiasa. Mambo haya yamekuwa yanatishia amani ya Nchi kwa ujumla. Akijibu maswali ya papo kwa papo, Mh. Waziri mkuu ametoa rai kuwa orodha ya wakaidi inajulikana...
Binafsi mimi nilishachoshwa na ushabiki wa vyama vya siasa. Hili lilitokea pale nilipogundua kuwa siasa ni mchezo mchafu, yaani nashabikia mimi lakini matunda anafaidi ninayemshabikia. Moto ukilipuka ninayemshabikia anakwea pipa nakuniacha nikipambana na mashabiki wa upinzani.
Labda sikuielewa...
Jenga hoja kaka usiuze mbuzi kwenye gunia kwa sababu za ushabiki tu (Naona unajaribu kuipigia debe Chadema bila vielelezo). Eleza azimio litakaloletwa na chadema kama lipo, kwa kukusaidia labda ujaribu kucheki reply ya Highlander. Hajaleta azimio la chadema lakini kajaribu kujenga hoja juu ya...
Naomba kuhoji, mbona vijana wanaondoka mmoja mmoja Chadema? Kwanza Juliana, Mtela, .... na sasa Kalemela. Hawa wote ni wasomi na wana akili zao timamu. Wamelikalia kuti, wakaona kuwa ni kuti kavu na linaweza kuwaporomosha mda wowote hivyo wakaamua kufanya maamuzi haraka.
USHAURI KWA VIJANA...
Hodi wana Jamii Forum!
Mimi ni mgeni katika jukwaa hili, na nina hoja moja inayoniumiza kichwa ningependa kuijadili pamoja na yeyote atakayeguswa. Hoja iliyonigusa ni juu ya suala zima la ubinafsishaji. Binafsi ninaamini kwa kiasi kikubwa kuwa ubinafsishaji ni sehemu kubwa sana inyochangia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.