Recent content by The Clinical Pharmacist

  1. The Clinical Pharmacist

    Kalynda na dada zake, bila Serikali inayolinda watu wake Watanzania watalizwa sana

    Uliposema watanzania ulikuwa umemaliza, Sio viongozi si wananchi. Wote tunashida mahali, Kwanini serikali iruhusu hao jamaa kuingia kwenye mfumo wa fedha wa Nchi kama haijasajiliwa ?
  2. The Clinical Pharmacist

    Kalynda na dada zake, bila Serikali inayolinda watu wake Watanzania watalizwa sana

    Hapa pote hiyo list sijawahi ingia, kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anakomaa eti nijiunge na GNLD, nikamwambia kama vipi nikopeshe. Lakini kwa mtizamo wangu ba uchunguzi wangu naona kama GNLD na FOREVER ni ponzi schemes ambazo hela ya kule sio rahisi kama inavyofikirika. Pamoja na hayo kuna...
  3. The Clinical Pharmacist

    Kalynda na dada zake, bila Serikali inayolinda watu wake Watanzania watalizwa sana

    Yaani waliokuwa wanacheza huo upatu ni kwambie walikuwa wanajikuta wataalamu wa Kutafuta pesa. Ngoja niwacheke tena 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  4. The Clinical Pharmacist

    Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

    Mmh ! Nchi yetu inapitia mengi sana asee. Katiba mpya inaweza kuleta ahueni kwa baadhi ya mambo. Yote kwa yote, Mzee Mwendazake alikuwa na madhaifu yake ila kwenye kuupiga mwingi aliupiga sana. Sasa hivi porojo zimekua nyingi sana kwa mawaziri, Mgao wa Umeme na Changamoto zingine kwa Mzee Magu...
  5. The Clinical Pharmacist

    Mwanaume akutongoze, kisha umfuate kwake kumkanya, kweli ulisikia wapi?

    Jeshi letu la Polisi kuna mahala linapwaya.! Taarifa iliyotolewa haijatosheleza, Wanapaswa kuwahoji masanja na Mke wake na washiriki wengine. Hapo kuna ukweli fulani ambao unahitaji uthubutu kidogo tu wa Kufikia kwenye ukweli. Eti mtu ajinyonge kisa kakataliwa ? Kweliii ? Wangapi na mara ngapi...
  6. The Clinical Pharmacist

    Makamba, Mwigulu au Nape watakuja kuwa ma Rais wazuri sana!

    Mmmh sawa bhana! Ila kuna muda niliaminigi kuwa January anaweza kutufaa kwenye kiti cha Urais lakini baada ya kupewa wizara ya Nishati .. mmh nikakosa imani kabisa. Kwa upande wa Nape, Hapana asee. Nape anamajibu ya dharau sana hata nduguye Mchemba. Nape ameshindwa kuyabana makampuni ya simu...
  7. The Clinical Pharmacist

    Siasa anazofanya Freeman Mbowe zipo sahihi ✓

    Ukweli mchungu sana huu 😒
Back
Top Bottom