Recent content by The Chosen 1

  1. T

    JamiiForums Tanzania Graduates, ni halmashauri gani ungependa kufanya kazi?

    Daah Biharamulo kipengele sana!.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Graduates, ni halmashauri gani ungependa kufanya kazi?

    Hahahah... DED kishapu!..
  3. T

    JamiiForums Tanzania True story: mkasa wa ukweli ulionitokea katika pilikapilika za kutafuta maisha

    Pole sana kwa tukio mkuu maana inauma sana!.. Ila hongera sana kwa kuwa jasiri na kujizuia hisia na hasira yako kuwaka. Cha msingi tuendelee kutopoteza focus ya kutafuta maisha na Mungu atabariki kazi za mikono yetu.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane. Ameomba talaka kwa mumewe ambaye ni shoga! Ushauri wenu

    Kwani mwanzoni wakati uko nae ulishawahi kuifunua sketi na ukaona utupu wake?. Ushamzagamua?.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

    Tatizo huwa ni nini mpaka mnaingia kwenye mahusiano na mume wa mtu?.?.. Lengo lako kuu ilikuwa ni nini mpaka unaingia kwenye mahusiano na mume wa mtu angali wajua ana mke?. . Shida ni TAMAA ambayo inaenda kukuponza maana naona huyu jamaa anaweza kukufanya kitu kibaya ama huyo Kijana uliyenae...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nimeamua rasmi ni-"date" na mume wa mtu, hakuna namna

    Kuna mwingine anataka kumuacha Mume wa mtu baada ya kukipata alichokitaka.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nimeamua rasmi ni-"date" na mume wa mtu, hakuna namna

    Huyu mume wa mtu umempenda kwa sababu kubwa 2. 1.Anakutimizia mahitaji ya kimaisha ambalo ni kubwa zaidi, kwa maana umesema fedha anayo na anakusomeshea mwanao (Nimeona umemjibu mdau mmoja aliesema kikubwa akusomeshee mwanao) 2. Anampenda mwanao. Zote hizo ni conditional element of your...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ingia mtandaoni umsikilize Tundu Lissu kuhusu yanayoendelea Ngorongoro

    Ipo siku tutasikia waadzabe watolewe huko waliko wapelekwe zanzibar. Hilo eneo fuatilia historia ndio utajua ilikuwaje wakasettle Ngorongoro.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Passport ya Tanzania inaweza kukupeleka nchi 72 bila kulipia Visa. Iko nafasi ya 77 duniani kati ya nchi 195

    Tuache kudanganyana.. Hizi data huwa mnazitoa wapi?. . Hakuna reference. Tuwe tunaenda kisomi angalau.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

    Unawezaje kumtoa Rais Samia kwenye dhahama ya ukopaji awamu ya tano!?.?.. Kwani yeye hakuwa sehemu ya serikali, tena makamu wa Rais, hii inaonyesha kuwa alikuwa anayajua yote mambo yanayoendelea. Tujiulize kitu kimoja, ni afya kweli kukopa deni ili ulipe deni?.?. Katika uchumi si hali nzuri...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

    Kwani kuachana nayo si ndio kuvunja ndoa kwenyewe?.?..
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nina nia ya kuwashitaki Wabunge 19 wanaolipwa mishahara na posho kinyume na Katiba

    Vijana wa siku hizi hamnazo kabisa. Yaan katiba inavunjwa wanashabikia na kuita wivu wa kike.. Inabidi mkoloni aje tena atutawale ili mbongo zetu zifanyiwe Restore Factor setting. Labda tukipitia machungu ya kuwa watumwa na kuvunjiwa haki akili itakaa sawa na kufahamu umuhimu wa haki, sheria na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nina nia ya kuwashitaki Wabunge 19 wanaolipwa mishahara na posho kinyume na Katiba

    MATAGA huwa mnateseka sana na CDM asee na mmeshikwa pabaya.. Hila kifanye chama tawala kama tukio la Lissu,Alphonce mawazo, Ben Sa8 nk, ila lawama ziibuke kwa wapinzani [emoji23][emoji23], Ridiculous. Tujifunze kujibu kwa hoja sio kutumia mabavu na visasi!.!.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nina nia ya kuwashitaki Wabunge 19 wanaolipwa mishahara na posho kinyume na Katiba

    Hizi akili mbovu kabisaaa.. CCM wenyewe wanamshambulia JoBo kwa kuwaweka wale COVID-KUMI NA KENDA, ambao wako kinyume na katiba alafu kuna mtu anaibuka kusema CDM sio wa kuwapa nchi kwa sababu ya visasi,. Mwendazake alivyokuwa na visasi ninyi hamkuviona. Watu wakisimamia katiba inayovunjwa...
Back
Top Bottom