Nikiwaza hili ni jambo nitakalokuwa nafanya kila siku asubuhi hadi jioni kipindi chote cha maisha yangu kama chanzo changu cha kipato na utambulisho wangu , inachosha!, uhuru kidogo, naona kama niko boxed kwenye maisha.
Inanilazimu kutafuta namna ya kuipenda hii taaluma ili niwe na moyo wa...
Nimejifunza ni bora ukatatua shida zako kimyakimya kwa kuchukua mikopo kwenye makampuni au benki.
Vinginevyo utawachukia binadamu bure, mtu ulikuwa unaishi naye vizuri ukiwa na shida hata kidogo utampoteza kwa kwa kuomba mkopo kutatua shida yako.
Kwenye circle yako yote unaweza gundua huna...
Habari wanajf
Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,
Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,
Nimekosa machaguo kabisa,
1.Kuhusu diet inahitaji...
Beginners wa forex huwa mna expectations kubwa sana,
Wewe endelea kujifunza ila tambua kila siku utakuwa unaona kama upo karibu kuwa expert na hilo Tumaini utaishi nalo miaka yote.
Sio jaunarling tu me nimefanya backtesting sana, vitabu vya price action kama vya al brook nimepitia mno, vitabu...
Bora niweke focus kuongeza competence kwenye career yangu.
Forex unapiga hatua tatu mbele kisha nne nyuma. Sio discipline wala strategy kitakachokuokoa.
Zinaelekea siku 80 sasa tangu tupokee boom la 2.
Kwa kawaida boom tunapokea ndani ya siku 60 hadi 70.
Kuchelewesha boom la 3 kiasi hiki bila taarifa yoyote kunawaweka wanafunzi wengi kwenye wakati mgumu.
Naomba kuwasilisha.
Hofu yangu kubwa ni kuendelea kukaa single naona kama sijakamilika bila kuwa kwenye mahusiano wala kuwahi kuchakata mbususu hadi namaliza, naamini kuna jf experts mliowahi kuvuka hii hatua naombeni muongozo.
Ahsanteni sana.
Huwa sina tabia ya kujipost status, Facebook, au Instagram lakini ikitokea nimebahatisha picha moja kali siwezi kutulia nayo kwenye simu.
Sasa wakuu naombeni caption kali ambayo ipo neutral na inspiring sio ya chatgbt kama wanavofanya wengi
Inaweza kuwa quote au maneno machache tu yanayofit...
Baada ya maambukizi , inachukua miaka 10 hadi 15 mtu kuanza kuona dalili za hiv,
Kumbe wengi wazinzi naweza sema watoto wa 2000s walioanza uzinzi let's say 2018 wakiwa na miaka 18+,
Dalili wanaweza kuanza kuziona around 2028 kuendelea.
Kipindi chote hiki wanaweza kuishi kwa kuwaambukiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.